Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Hapana sipo single na sijaolewaWewe umeolewa?
Tatizo lenu hadi mumponde mtu sijui kwaniniWee sii upo single ebu tupe changamoto zako kwanza
Kwani umepondwa hapao au nimeomba utupe changamoto zako?Tatizo lenu hadi mumponde mtu sijui kwanini
NimekuelewaHapana sipo single na sijaolewa
So mnagegegduana🤣🤣🤣🤣Hapana sipo single na sijaolewa
Tatizo waolewaji sikuhizi wamekuwa na midomo sana nidhamu ilisha poromoka kwahali hiyo vijana wengi hawataki kusumbuana na mtoto wa m2.#This haki sawa is a big probleme.
Wachaaa!!Yaani umesema ukweli kabisa midomo kwa wanawake wengi imekua changamoto saana,ukimpenda sana na kumudumia kila kitu anakuona fala,sasa wanaume wengi wanakimbia kuona anadate na mwanamke akiona hafai mwanaume anasepa haraka basi wamawake ndio inakua amenitumia tu,sijui kanipotezea muda kumbe sababu ya ukweli ni kuwa nidhamu haikuwepo,hakuna mwanaume wa kuanza eti kuhagaika na kukufundisha tabia njema mwanamke mtu mzima unakuta mwnamke mwenyewe umri 40 +
Mi ni mmoja wapo.Tuwe serious na hili tokea 2019 mpaka sasa kuna mtu hajaolewa na kuna mtu hajaoa mpaka sasa leo hii mtuelezee matatizo mnayokumbana nayo ili muweze kutoa dukuduku zenu .
Naishi maisha yangu.Halafu kingine ninaomba kujua kama mpo single mnaishije???
Sina changamoto yoyotee zaidi ya kwamba "NI LIFE STYLE NILIYOCHAGUA KUENDA NAYO"Tuambizane .
Changamoto mnazokutana nazo .
Bora nipo single "na enjoy"Nipo serious
Hapana hayupo karibu ila,soon atakuja tu tufunge ndoaSo mnagegegduana🤣🤣🤣🤣
True unaonekana unatania lifeUkiwa single unakosa kampani ya uhakika
Ila,sio fresh kuna adhari zakeTulio single kazi zutu ni kula tunda kimasihara.