Mlio single mnaishi vipi?

Mlio single mnaishi vipi?

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Tuwe serious na hili tokea 2019 mpaka sasa kuna mtu hajaolewa na kuna mtu hajaoa mpaka sasa leo hii mtuelezee matatizo mnayokumbana nayo ili muweze kutoa dukuduku zenu.

Halafu kingine ninaomba kujua kama mpo single mnaishije? Tuambizane.

Changamoto mnazokutana nazo.

Nipo serious
 
Tatizo waolewaji sikuhizi wamekuwa na midomo sana nidhamu ilisha poromoka kwahali hiyo vijana wengi hawataki kusumbuana na mtoto wa m2.#This haki sawa is a big probleme.

Yaani umesema ukweli kabisa midomo kwa wanawake wengi imekua changamoto saana, ukimpenda sana na kumudumia kila kitu anakuona fala, sasa wanaume wengi wanakimbia kuona anadate na mwanamke akiona hafai mwanaume anasepa haraka basi wamawake ndio inakua amenitumia tu, sijui kanipotezea muda kumbe sababu ya ukweli ni kuwa nidhamu haikuwepo, hakuna mwanaume wa kuanza eti kuhagaika na kukufundisha tabia njema mwanamke mtu mzima unakuta mwnamke mwenyewe umri 40 +
 
Yaani umesema ukweli kabisa midomo kwa wanawake wengi imekua changamoto saana,ukimpenda sana na kumudumia kila kitu anakuona fala,sasa wanaume wengi wanakimbia kuona anadate na mwanamke akiona hafai mwanaume anasepa haraka basi wamawake ndio inakua amenitumia tu,sijui kanipotezea muda kumbe sababu ya ukweli ni kuwa nidhamu haikuwepo,hakuna mwanaume wa kuanza eti kuhagaika na kukufundisha tabia njema mwanamke mtu mzima unakuta mwnamke mwenyewe umri 40 +
Wachaaa!!
Malaika kutoka mbinguni wakizungumza.
 
Tuwe serious na hili tokea 2019 mpaka sasa kuna mtu hajaolewa na kuna mtu hajaoa mpaka sasa leo hii mtuelezee matatizo mnayokumbana nayo ili muweze kutoa dukuduku zenu .
Mi ni mmoja wapo.
Sina dukuduku lolotee
Halafu kingine ninaomba kujua kama mpo single mnaishije???
Naishi maisha yangu.
Naishi kwa amani kabisaaa.
Tuambizane .
Changamoto mnazokutana nazo .
Sina changamoto yoyotee zaidi ya kwamba "NI LIFE STYLE NILIYOCHAGUA KUENDA NAYO"
Nipo serious
Bora nipo single "na enjoy"

#YNWA
 
Back
Top Bottom