Mlio single mnaishi vipi?

Tumezoea tena tuna raha kweli.

Ni kula vzr,kunywa tutakavyo n.k
 
Maisha ni vile unavyoamua,

kuwa single haimaanishi hutombi,

kuwa single ni kutokuwa na mpenzi,

yaani unakuwa free demu yeyote yule unatomba kimasihara bila kujihusisha na mahusiano,

ukimuelewa unafunguka tu unaandaa mazingira unatomba baada ya hapo hakuna kutafutana tena
 
Wee utakuwa yule handsome boy aliye msumbua Kelsea wangu
 
Daah bora kuwa single, juzi juzi tu hapa nikaona wacha nipunguze uzito. Basi kimasihara nikaanza vijimahusiano na Binti fulani mtulivu kiasi, siku iliyofuata binti aliishiwa umeme,MBOGA,Mafuta ya kupikia na gezi ikaisha.[emoji3064][emoji3064][emoji119][emoji119][emoji119]. Mpaka sasa nimerudi chama letu la ubachelani.
 
Tunaish kawaid kweny sayar yetu hi ya kuitwa dunia, tunapata jua na mvua pia. Tunaumwa njaa na kushba pia.........tunapata mahitaj muhimu ambayo n mavazi, malazi na chakula; na pia tuna afya tele kabsa.
 
Huwa siamini sana kama mwanamke aliyewahi kugegedwa anaweza kwenda na ukame wa mwaka bila kuguswa. Anyway, huo ni ushuhuda wa Ke siwezi kupinga.
Nilijua tulielewana kumbe bado [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…