Kumbe ndioo maana unatukandia wanaume wa jf sasaHapana hayupo karibu ila,soon atakuja tu tufunge ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ndioo maana unatukandia wanaume wa jf sasaHapana hayupo karibu ila,soon atakuja tu tufunge ndoa
Sawa. Dada.Ila,sio fresh kuna adhari zake
Wala hata mbona nyie mnanisagiaga sana tu mara malaya mara na gunduuKumbe ndioo maana unatukandia wanaume wa jf sasa
🤣🤣🤣🤣Bwana nani huyo anakusimanga...usitusahau kwenye harusi yako tuje tuserebukeWala hata mbona nyie mnanisagiaga sana tu mara malaya mara na gunduu
Mbuzi...watu wamebaka kenge🤣🤣🤣🤣Umejuaje eti tangu 2019 any way maisha hayan furaha ya usinge unaweza kubaka mbuzi
Unamaana gani??Tulio singo tunaishi hivyo hivyo kimkanda mkanda
Hutoweza kuja kwa sababu ipo njee ya uwezo wangu inafanyika zanzibar sasa hatuna tiketi za ndege za wageni za buree waliochangia tu ndio walijumlishwa ila tutakuja dar baada ya honeymoon nitakuinbox uje utupe hongera na my wangu.🤣🤣🤣🤣Bwana nani huyo anakusimanga...usitusahau kwenye harusi yako tuje tuserebuke
Shida hao wakuwaoa unawatafutia nje ya Bustani ya Edeni....jaribu kurudi huko kina Eva wapo tuTatizo waolewaji sikuhizi wamekuwa na midomo sana nidhamu ilisha poromoka kwahali hiyo vijana wengi hawataki kusumbuana na mtoto wa m2.#This haki sawa is a big probleme.
Mimi ndio nilikuwa single hapo hapo.Umejuaje eti tangu 2019 any way maisha hayan furaha ya usinge unaweza kubaka mbuzi
Hali mbaya oeni mtabaka hadi samaki hayaMbuzi...watu wamebaka kenge🤣🤣🤣🤣
Ah hapo mie naja na boat tuu wala sina shida ya ndegeHutoweza kuja kwa sababu ipo njee ya uwezo wangu inafanyika zanzibar sasa hatuna tiketi za ndege za wageni za buree waliochangia tu ndio walijumlishwa ila tutakuja dar baada ya honeymoon nitakuinbox uje utupe hongera na my wangu.
Tutaoa vipi wakati wanawake wanasema wanaume wa jf hatuna hela....sie tutagegeda tuuHali mbaya oeni mtabaka hadi samaki haya
Tuwe serious na hili tokea 2019 mpaka sasa kuna mtu hajaolewa na kuna mtu hajaoa mpaka sasa leo hii mtuelezee matatizo mnayokumbana nayo ili muweze kutoa dukuduku zenu.
Halafu kingine ninaomba kujua kama mpo single mnaishije? Tuambizane.
Changamoto mnazokutana nazo.
Nipo serious
Ningumu kuja bila kadi na kadi tunauza sh. Laki moja hapo utakula nakunywa nakuwaona pisi kali za rangi zote duniani.Ah hapo mie naja na boat tuu wala sina shida ya ndege
Siku unataka kuoa unakuta ulikuwa umeshamaliza na maji na sabuni .Sabuni zipo
Unaona ...sasa kadi laki kweli unadhani kweli tutaoa sie boda boda?Ningumu kuja bila kadi na kadi tunauza sh. Laki moja hapo utakula nakunywa nakuwaona pisi kali za rangi zote duniani.