Mlio single mnaishi vipi?

Mlio single mnaishi vipi?

Tuwe serious na hili tokea 2019 mpaka sasa kuna mtu hajaolewa na kuna mtu hajaoa mpaka sasa leo hii mtuelezee matatizo mnayokumbana nayo ili muweze kutoa dukuduku zenu.

Halafu kingine ninaomba kujua kama mpo single mnaishije? Tuambizane.

Changamoto mnazokutana nazo.

Nipo serious
Hujasikia ule wimbo "ukiwa single una enjoy" hebu utafute usikilize kisha urudi utuambie umesikia mini.
 
Sipo single na siwez kuishi single aisee kwanza mahusiano yangu mtuwang napenda tuishi kishkaji Sana yaani ni best friend pia

So sinaga kampani nying na sipendagi Sana marafiki hivyo boyfriend ndio kampani nayoiamini upweke unapungua nakuwa na mtu wa kushare nae mawazo furaha na huzuni

Ila wanaosema wako single naamini asilimia 90 hawako single wanawatu wanaowapa kampani sikumoja moja [emoji16][emoji16]

Alafu kunawale hawapo single Ila kma wapo single kikubwa uhai[emoji16][emoji16]
 
Tuwe serious na hili tokea 2019 mpaka sasa kuna mtu hajaolewa na kuna mtu hajaoa mpaka sasa leo hii mtuelezee matatizo mnayokumbana nayo ili muweze kutoa dukuduku zenu.

Halafu kingine ninaomba kujua kama mpo single mnaishije? Tuambizane.

Changamoto mnazokutana nazo.

Nipo serious
Wanaume wanaishi kwa vibanda umiza kwa wahaya, 4000 anaondoka mwepesi.
Wanawake sijui sana ila nahisi DILDO na kujichua
 
Usijali uzuri wake nachowapendea nyie warembo ni kwamba kwenye pesa mpo tayari kubinuliwa mikao yote ili kumridhisha mwanaume kingono
Kila mtu anakua na chake anachoenjoy muda huo, mmoja akienjoy ngono mwingine anaenjoy mshiko. Ni starehe zao mwaya
 
Kwamba mtu anakuwa na hana hata wa kumgegeda? Mbona huwa nakuwa mgumu kuamini hii kitu?

Hivi 1yr kweli hakuna mtu wa kukugegeda, no..never aisee!
Tena mtu wa kukugegeda ndo unaweza kosa kabisa hata uwe na wanaume 10 wanakuzungukia.
 
Sipo single na siwez kuishi single aisee kwanza mahusiano yangu mtuwang napenda tuishi kishkaji Sana yaani ni best friend pia

So sinaga kampani nying na sipendagi Sana marafiki hivyo boyfriend ndio kampani nayoiamini upweke unapungua nakuwa na mtu wa kushare nae mawazo furaha na huzuni

Ila wanaosema wako single naamini asilimia 90 hawako single wanawatu wanaowapa kampani sikumoja moja [emoji16][emoji16]

Alafu kunawale hawapo single Ila kma wapo single kikubwa uhai[emoji16][emoji16]
Kampani ya siku moja moja ndio ipi hiyo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom