Mlioacha DNA’s zenu wakati wa puberty age fikirieni watoto wana hali gani?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Wengi ni baada ya kumaliza mtihani wa kidato cha nne. Mzee anataka ufahamu mila za kwao, wengine ni kwa utukutu uliozidi wazazi wanaamua kukupeleka bush ukiwa unasubiri majibu.

Kule kijijini wadada wote organic. Unawaona wakienda kuchota maji kisimani/mtoni au kutafuta kuni. Na wao wakijua kijana wa town amefika wanatamani awe mchumba aolewe aende akaishi mjini.

Wengi mlidondosha mbegu huko vijini na baada ya majibu kutoka mliendelea na masomo. Wale watoto wenu mlishawahi kuwafikiria? Wengine ni wakulima, vibarua au ndiyo ma don vijijini.
 
Sikubahatika hata kupenda binti wa bush
 
Umenikumbusha nina kuna binti ana damu yangu mara ya mwisho aliniambia mtoto amempa jina la Godface ...
Cjawahi kumuona mwanangu ..wala ndugu hawajui kama na mtoto ESTER .,.najua upo bunda fanya kunitafuta hata kama umeolewa nijue hatima ya mwanangu
 
Mtafute mkuu wewe ndiye ulimleta Godface... duniani
 
ila hawa mabinti pia wana shida,kuna binti alikuwa home,nliwah kua na uhusiano nae wa siri ila tukaznguana baada ya kugundua ana uhusiano na muuza genge pale mtaani,nikiwa shule mkoani nkapata habari yule binti mjamzito na uo mzigo wa huyo muuza genge,nilivyorudi likizo sikumkuta,lakini aliwaambia washkaji zangu ule ujauzito ni wangu!!baada ya kumaliza shule,nlimtafuta huyo binti bila mafanikio ili nihakikishe yale nlioambiwa na washkaji japo alikiri mbele ya wazee wangu na dada ake kwamba ujauzito wa muuza genge!!

Tatu popote ulipo nakutafuta!
 
Yaani nashindwa nianzie wapi ...maana nilimuacha ana mimba ya miezi miwil mi nikaenda ujerumani na wala ckujua kuwa alikuwa mjamzito....nimekaa miaka miwili narudi nilitamani kumuona niliambiwa aanaishi maisha ya shida sana ...

Yeye na familia yao kiujumla ..nikaambiwa yupo bunda na yule dada aliyenikuwadia mpk nikampata na number za simu akanipa

Lakini tuliongea km wiki mbili mawasiliano yakakatika mpka leo najua yupo Bunda ila cjui ni wapi ? Yaani ningejua hata kwao na Ester ningeenda

Nashida kweli na Godface !! Nimuone !! Ikiwezekana nimchukue nimtengenezee future...maana najua hata kuolewa kwake aliolewa ili mwanae apate pa kujisitiri na kutunzwa
 
Unafahamu Tatu alitoka mkoa, wilaya kijiji gani? Tusnzie hapa kwanza.
 
Yaani nashindwa nianzie wapi ...maana nilimuacha ana mimba ya miezi miwil mi nikaenda ujerumani na wala ckujua kuwa alikuwa mjamzito....nimekaa miaka miwili narudi nilitamani kumuona niliambiwa aanaishi maisha ya shida sana ...

Yeye na familia yao kiujumla ..nikaambiwa yupo bunda na yule dada aliyenikuwadia mpk nikampata na number za simu akanipa

Lakini tuliongea km wiki mbili mawasiliano yakakatika mpka leo najua yupo Bunda ila cjui ni wapi ? Yaani ningejua hata kwao na Ester ningeenda

Nashida kweli na Godface !! Nimuone !! Ikiwezekana nimchukue nimtengenezee future...maana najua hata kuolewa kwake aliolewa ili mwanae apate pa kujisitiri na kutunzwa
Penye nia pana nja Mkuu jitahidi siku moja chukua likizo kamtafute nna uhakika utampata tuu
 
Inahitaji ujasiri sana, kitelekeza damu yako na usitake hata kujua mtoto anaishije? Wazee wenzangu hem tuweni ni mioyo ya huruma, tafuteni damu zenu mzihudumie.
 
Back
Top Bottom