ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,143
- 17,639
DNA yangu nimeilinda balaa.
As far as I know [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
As far as I know [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daah umeongea kweli sister hapo wanaume wenzang mnakoseaga Sana!Wengi ni baada ya kumaliza mtihani wa kidato cha nne. Mzee anataka ufahamu mila za kwao, wengine ni kwa utukutu uliozidi wazazi wanaamua kukupeleka bush ukiwa unasubiri majibu.
Kule kijijini wadada wote organic. Unawaona wakienda kuchota maji kisimani/mtoni au kutafuta kuni. Na wao wakijua kijana wa town amefika wanatamani awe mchumba aolewe aende akaishi mjini.
Wengi mlidondosha mbegu huko vijini na baada ya majibu kutoka mliendelea na masomo. Wale watoto wenu mlishawahi kuwafikiria? Wengine ni wakulima, vibarua au ndiyo ma don vijijini.
You have made my weekend my sister, ati what ORGANIC GIRLS, aki i will laugh the whole time nikiwa kwa golf course leo with that your "new term" have a nice weekend my sister, yes its true those guys should go and find out what transipered after they left those kids behind, some might even be lacking school fees, while dad is a bank manager, or a leading bussinessman or even a head of an NGOWengi ni baada ya kumaliza mtihani wa kidato cha nne. Mzee anataka ufahamu mila za kwao, wengine ni kwa utukutu uliozidi wazazi wanaamua kukupeleka bush ukiwa unasubiri majibu.
Kule kijijini wadada wote organic. Unawaona wakienda kuchota maji kisimani/mtoni au kutafuta kuni. Na wao wakijua kijana wa town amefika wanatamani awe mchumba aolewe aende akaishi mjini.
Wengi mlidondosha mbegu huko vijini na baada ya majibu kutoka mliendelea na masomo. Wale watoto wenu mlishawahi kuwafikiria? Wengine ni wakulima, vibarua au ndiyo ma don vijijini.
We acha tu. Maisha yana mambo mengi sana. Wengine tumewaacha kwenye hizi safari za kikazi. Miezi hadi mitatu upo huko. Mawasiliano baadaye hakuna. Unaanzia wapi? Huenda kuna mwingine alibambikwa.Wengi ni baada ya kumaliza mtihani wa kidato cha nne. Mzee anataka ufahamu mila za kwao, wengine ni kwa utukutu uliozidi wazazi wanaamua kukupeleka bush ukiwa unasubiri majibu.
Kule kijijini wadada wote organic. Unawaona wakienda kuchota maji kisimani/mtoni au kutafuta kuni. Na wao wakijua kijana wa town amefika wanatamani awe mchumba aolewe aende akaishi mjini.
Wengi mlidondosha mbegu huko vijini na baada ya majibu kutoka mliendelea na masomo. Wale watoto wenu mlishawahi kuwafikiria? Wengine ni wakulima, vibarua au ndiyo ma don vijijini.
Dadadeki wallah namkumbuka mtoto niliyezaa na Anna, Tarimo pale kinondoni Moscow karibu na kituo cha Polisi Moscow..Popote ulipo Tarimo mimi ni yule bwana niliyekua nakupitia saloon opposite na Kilimanjaro Bar wakati nikitoka kununua miguu ya kuku kwa Chale mbele ya duka la Kinjofu! Ulikuwa mtamu sana sijui kwanini ulinikimbia na kubadilisha namba za simu!Wengi ni baada ya kumaliza mtihani wa kidato cha nne. Mzee anataka ufahamu mila za kwao, wengine ni kwa utukutu uliozidi wazazi wanaamua kukupeleka bush ukiwa unasubiri majibu.
Kule kijijini wadada wote organic. Unawaona wakienda kuchota maji kisimani/mtoni au kutafuta kuni. Na wao wakijua kijana wa town amefika wanatamani awe mchumba aolewe aende akaishi mjini.
Wengi mlidondosha mbegu huko vijini na baada ya majibu kutoka mliendelea na masomo. Wale watoto wenu mlishawahi kuwafikiria? Wengine ni wakulima, vibarua au ndiyo ma don vijijini.
Ukianzia pale ulipokuwa unampitia utafahamu Anna na mtoto wako wako wapi.Dadadeki wallah namkumbuka mtoto niliyezaa na Anna, Tarimo pale kinondoni Moscow karibu na kituo cha Polisi Moscow..Popote ulipo Tarimo mimi ni yule bwana niliyekua nakupitia saloon opposite na Kilimanjaro Bar wakati nikitoka kununua miguu ya kuku kwa Chale mbele ya duka la Kinjofu! Ulikuwa mtamu sana sijui kwanini ulinikimbia na kubadilisha namba za simu!
Alinikimbia mkuu..serious najua nina mtoto wa kike ambaye atakua na miaka nane sasa...siku moja najua nitampata!Ukianzia pale ulipokuwa unampitia utafahamu Anna na mtoto wako wako wapi.
Kaka upo igombe !! Nilikuja mwaka jana huko kusimamia zoezi la NIDA !! pamechangamka hatariMi mwenyewe nataka nitelekeze lingine huku nakofanyia kazi za kikokozi
Watoto wamekaa kibush men bush men kama vile kanjunjuWengine wanaona aibu watoto wako ki bush bush, hawaelewi kuwa wao ndiyo sababu.