Naam...Na dada wakazi alipobainika ni mjamzito alipewa nauli aende kwao.
Wengine wanaona aibu watoto wako ki bush bush, hawaelewi kuwa wao ndiyo sababu.
Mtafute mkuu wewe ndiye ulimleta Godface... dunianiUmenikumbusha nina kuna binti ana damu yangu mara ya mwisho aliniambia mtoto amempa jina la Godface ...
Cjawahi kumuona mwanangu ..wala ndugu hawajui kama na mtoto ESTER .,.najua upo bunda fanya kunitafuta hata kama umeolewa nijue hatima ya mwanangu
Na dada wakazi alipobainika ni mjamzito alipewa nauli aende kwao.
Yaani nashindwa nianzie wapi ...maana nilimuacha ana mimba ya miezi miwil mi nikaenda ujerumani na wala ckujua kuwa alikuwa mjamzito....nimekaa miaka miwili narudi nilitamani kumuona niliambiwa aanaishi maisha ya shida sana ...Mtafute mkuu wewe ndiye ulimleta Godface... duniani
Unafahamu Tatu alitoka mkoa, wilaya kijiji gani? Tusnzie hapa kwanza.ila hawa mabinti pia wana shida,kuna binti alikuwa home,nliwah kua na uhusiano nae wa siri ila tukaznguana baada ya kugundua ana uhusiano na muuza genge pale mtaani,nikiwa shule mkoani nkapata habari yule binti mjamzito na uo mzigo wa huyo muuza genge,nilivyorudi likizo sikumkuta,lakini aliwaambia washkaji zangu ule ujauzito ni wangu!!baada ya kumaliza shule,nlimtafuta huyo binti bila mafanikio ili nihakikishe yale nlioambiwa na washkaji japo alikiri mbele ya wazee wangu na dada ake kwamba ujauzito wa muuza genge!!
Tatu popote ulipo nakutafuta!
Penye nia pana nja Mkuu jitahidi siku moja chukua likizo kamtafute nna uhakika utampata tuuYaani nashindwa nianzie wapi ...maana nilimuacha ana mimba ya miezi miwil mi nikaenda ujerumani na wala ckujua kuwa alikuwa mjamzito....nimekaa miaka miwili narudi nilitamani kumuona niliambiwa aanaishi maisha ya shida sana ...
Yeye na familia yao kiujumla ..nikaambiwa yupo bunda na yule dada aliyenikuwadia mpk nikampata na number za simu akanipa
Lakini tuliongea km wiki mbili mawasiliano yakakatika mpka leo najua yupo Bunda ila cjui ni wapi ? Yaani ningejua hata kwao na Ester ningeenda
Nashida kweli na Godface !! Nimuone !! Ikiwezekana nimchukue nimtengenezee future...maana najua hata kuolewa kwake aliolewa ili mwanae apate pa kujisitiri na kutunzwa