Mlioacha DNA’s zenu wakati wa puberty age fikirieni watoto wana hali gani?

Daah umeongea kweli sister hapo wanaume wenzang mnakoseaga Sana!
 
You have made my weekend my sister, ati what ORGANIC GIRLS, aki i will laugh the whole time nikiwa kwa golf course leo with that your "new term" have a nice weekend my sister, yes its true those guys should go and find out what transipered after they left those kids behind, some might even be lacking school fees, while dad is a bank manager, or a leading bussinessman or even a head of an NGO
 
We acha tu. Maisha yana mambo mengi sana. Wengine tumewaacha kwenye hizi safari za kikazi. Miezi hadi mitatu upo huko. Mawasiliano baadaye hakuna. Unaanzia wapi? Huenda kuna mwingine alibambikwa.

Chifu Kingalu wa Uluguru was right. Matrilineal system is the best. Uhakika ni wa mama, sio baba. Mliosoma kitabu cha Mkapa mmeishajua Mkapa ni jina upande wa mama yake!
 
Namtaka mpenzi wangu mnyarwanda ambaye tulifahamiana nilivokuwa likizo form III. Nilienda wilaya flani uko pembezoni nikawa nae kwa muda wa wiki chache then nikasepa shule. Hajawahi tokea manzi namkubali kama yule mpaka sasa, ajabu ni kuwa jina lake halisi nilisahau maana lilikuwa gumu nikaamua kumuita jina flani hivi. Sababu ya kutaka kujua anaendeleaje ni kuwa alirudi kwao mjamzito. Miezi mitatu tu tokea nilipoondoka na hakusema mwenye mimba nani. Najua sihusiki sema iliniuma sana kusikia hivo, DNA zangu ziko under maxium security.
 
Dadadeki wallah namkumbuka mtoto niliyezaa na Anna, Tarimo pale kinondoni Moscow karibu na kituo cha Polisi Moscow..Popote ulipo Tarimo mimi ni yule bwana niliyekua nakupitia saloon opposite na Kilimanjaro Bar wakati nikitoka kununua miguu ya kuku kwa Chale mbele ya duka la Kinjofu! Ulikuwa mtamu sana sijui kwanini ulinikimbia na kubadilisha namba za simu!
 
Ukianzia pale ulipokuwa unampitia utafahamu Anna na mtoto wako wako wapi.
 
Naomba habari ziwaendee wale woote waliosoma I.D.M ya enzi zile, wale wadada wa changalawe DNA zenu zipo.
 
Muda utafika watawafuata walipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…