Dadadeki wallah namkumbuka mtoto niliyezaa na Anna, Tarimo pale kinondoni Moscow karibu na kituo cha Polisi Moscow..Popote ulipo Tarimo mimi ni yule bwana niliyekua nakupitia saloon opposite na Kilimanjaro Bar wakati nikitoka kununua miguu ya kuku kwa Chale mbele ya duka la Kinjofu! Ulikuwa mtamu sana sijui kwanini ulinikimbia na kubadilisha namba za simu!