Mlioacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe nahitaji msaada wenu

Booonge la point, pesa hutafutwa mapema 25-35 years, pindi mtu unanguvu unaweza hata ukavumilia njaa, usingizi kufanya kazi ngumu, hujawa na majukumu makubwa,unaweza kusafiri kwa sana nk, asa nguvu zoooote unazimalizia kwa mwajiri afu ndo uje ufanye mambo yako, kutoka ni ngumu saaaaaaaana
 
Point, Kuacha kazi sio mchezo, watu wengi husema hivyilo hivyo kwamba wanakusanya mtaji mpaka ana stafu.

Uoga wa mwajiriwa ni furaha kwa mwajiri.
 
naomba namba yako
 
kwa mimi suala la kua multiple source ya income ni muhimu,vitu vya kufanya ni km ifuatavyo:
1.fanya utafiti wa unachotaka kufanya.
2.tenga bajeti ya huo mradi.
3.tafuta eneo ambalo ni zuri kibiashara.
4.unaweza kuanza na kijana unaemuamini..kwakua umefanya tafiti nataraji hutaibiwa kwa kiasi kikubwa kwakua mtiririko unaujua.
5.kua karibu sn na biashara na uwe unakuwepo muda wa jioni ukiwa unafuatilia kila kitu...ratiba yako isiwe fixed...uwe unabadilika kl mara.
6.ongea na wateja wako km kuna changamoto wanazoziona kwa upande wa huduma kwa mteja.

NB
don't throw all eggs into one backet....
 
Hii ndio comment ya siku
 
Hiyo kauli ya mwisho ni ya kioga....jasiri anatoka full loaded and ready for war...eggs and basket so what?
huwezi kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja....
 
Au mtu anayetaka kujinyonga anaomba ushauri kwa wana familia mhi hi hi, kikubwa ni kujiandaa kisaikolojia asitake easy/faster money huko ni kwenda kuanza moja kabisaa juhudi na malego ndo zitakufikisha utakako kwenda
hahahaaa nimecheka sana
 
Mkuu Naomba Namba Yako mkuu
 
mkuu, ingependeza siku moja utupe mtiririko mzima wa namna ulivyo Acha kazi na changamoto ulizo pitia. Maana niko inspired saana na comments zako kiujumla..

Itatuwezesha sisi wengine kutoka kwenye huu utumwa wa kuajiriwa..
Ingawa ninazo plan za kutoka kwenye huu utumwa, kabla sijavuka umri wa miaka 30
 
Hongera saana mkuu. Komenti yako imenitia nguvu saana Mimi ambaye niko mbioni kuacha kazi
 
Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe

Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....

Click link ifuatayo kujiunga......

Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI

TSA- PIG FARMING
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…