Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Same results wagonjwa hawaponi au?Kuna mwanangu kaacha UMD anasema kachoka kufanya jambo lile lile kila siku huku akipata the same results
Huenda usinielewe ajira ni utumwa just imagine
1.Mwalimu Mpwayungu Village anaamka asubuhi anaoga na kuwahi shuleni kufanya jambo lile lile year and years
2.Daktari na nesi anaamka asubuhi ama anapokea night shift anaenda kufanya yaleyale
3.Mtumishi wa halmashauri ama wizarani anaamka asubuhi kwenda kufanya jambo lile lile
4.Maaskari wote wanaamka mapema kwenda kufanya jambo lile lile
5.Mainjinia,wahasibu, na wanasheria mambo ni yale yale
Kiufupi hakuna kwenye unafuu labda wachungaji, masheikh na mapadre
Wote ni vile vile tuKiufupi hakuna kwenye unafuu labda wachungaji, masheikh na mapadre
Kwamba hawa watu hawafanyi jambo lile lile kila sikuKiufupi hakuna kwenye unafuu labda wachungaji, masheikh na mapadre
Hata ukijiajiri lazma ufate routine otherwise hujafanikiwa kwa unachokifanyaHuenda usinielewe ajira ni utumwa just imagine
1.Mwalimu Mpwayungu Village anaamka asubuhi anaoga na kuwahi shuleni kufanya jambo lile lile year and years
2.Daktari na nesi anaamka asubuhi ama anapokea night shift anaenda kufanya yaleyale
3.Mtumishi wa halmashauri ama wizarani anaamka asubuhi kwenda kufanya jambo lile lile
4.Maaskari wote wanaamka mapema kwenda kufanya jambo lile lile
5.Mainjinia,wahasibu, na wanasheria mambo ni yale yale
Kiufupi hakuna kwenye unafuu labda wachungaji, masheikh na mapadre
Ngoja nami nikurushie maswali yangu ya kijingajinga;-Huenda usinielewe ajira ni utumwa just imagine
1.Mwalimu Mpwayungu Village anaamka asubuhi anaoga na kuwahi shuleni kufanya jambo lile lile year and years
2.Daktari na nesi anaamka asubuhi ama anapokea night shift anaenda kufanya yaleyale
3.Mtumishi wa halmashauri ama wizarani anaamka asubuhi kwenda kufanya jambo lile lile
4.Maaskari wote wanaamka mapema kwenda kufanya jambo lile lile
5.Mainjinia,wahasibu, na wanasheria mambo ni yale yale
Kiufupi hakuna kwenye unafuu labda wachungaji, masheikh na mapadre
Ni kama kubadilisha mikao tu wakati ni makalio yaleyale ndiyo uhusika na mitindo tarajiwa ya kukaa.Bahati mbaya au nzuri mambo mengi ni yale yale ila yanakua na situation tofauti,
Hata sex ni vile vile unaingiza unatoa kinachobadilika ni style tu.
Mi mkulima mkuuTuambie ww unajishughulisha na kipi ambacho huwa hakijirudii!