David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,771
- 9,237
Baba mtakatifu91 ishi humo.Kiukweli Kazi yoyote ambayo haikupi challenge mpya inaboa haraka.
ingawa kazi nying ulizotaja hapo juu kila siku zina challenge mpya. Sio kila siku ya kazi unarudia hali ile ile
Ila kitu kinachowafanya wafanyakazi wabaki na wanachofanya ni Nidhamu ,upendo wa kazi husika, kujitoa na uamuzi wa kutulia kwa sababu hauna option nyingne iliyo bora zaidi.
Hawa wote uliowataja wanafanya kazi ile ile lakini ina case tofauti kila siku. Mfano Dr anapata wagonjwa tofauti na wenye magonjwa tofauti etc.Huenda usinielewe ajira ni utumwa just imagine
1.Mwalimu Mpwayungu Village anaamka asubuhi anaoga na kuwahi shuleni kufanya jambo lile lile year and years
2.Daktari na nesi anaamka asubuhi ama anapokea night shift anaenda kufanya yaleyale
3.Mtumishi wa halmashauri ama wizarani anaamka asubuhi kwenda kufanya jambo lile lile
4.Maaskari wote wanaamka mapema kwenda kufanya jambo lile lile
5.Mainjinia,wahasibu, na wanasheria mambo ni yale yale
Kiufupi hakuna mwenye unafuu labda wachungaji, masheikh na mapadre
Mkuu kwa mamlaka yenu Majaji na Mahakama hii Tukufu naomba Uzi ufungwe Kuanzia comment hii🤣Bahati mbaya au nzuri mambo mengi ni yale yale ila yanakua na situation tofauti,
Hata sex ni vile vile unaingiza unatoa kinachobadilika ni style tu.
Atuambie huwa hachoki kulima kila mwaka?😀Nasubiri response ya muheshimiwa.
Kuajiliwa sio bongo tu, upeo wako wa kusngalia Mambo ni mdogo Sana, hata Bakheresa, au eron musk, anafanya jambo lile lile kila siku,information technology, engineering,Huenda usinielewe ajira ni utumwa just imagine
1.Mwalimu Mpwayungu Village anaamka asubuhi anaoga na kuwahi shuleni kufanya jambo lile lile year and years
2.Daktari na nesi anaamka asubuhi ama anapokea night shift anaenda kufanya yaleyale
3.Mtumishi wa halmashauri ama wizarani anaamka asubuhi kwenda kufanya jambo lile lile
4.Maaskari wote wanaamka mapema kwenda kufanya jambo lile lile
5.Mainjinia,wahasibu, na wanasheria mambo ni yale yale
Kiufupi hakuna mwenye unafuu labda wachungaji, masheikh na mapadre
Nilikuwa najiuliza pia, ni kazi gani ambayo haijirudii? Labda uwe deiwakaTuambie ww unajishughulisha na kipi ambacho huwa hakijirudii!
Hapo sasa!Atuambie huwa hachoki kulima kila mwaka?😀
IHESHIMU BANGI BWANA MKUBWAAnayeweza kujiuliza swali hili mara nyingi ana bhangi ya kutosha mwilini. Utafiti wangu tu.
Anyway huwa tunaongeza quality ya kazi hivyo kila kesi inapata utofauti wake
"All humanity problems stems from man's inability to sit quietly in a room all by himself"Kiukweli Kazi yoyote ambayo haikupi challenge mpya inaboa haraka.
ingawa kazi nying ulizotaja hapo juu kila siku zina challenge mpya. Sio kila siku ya kazi unarudia hali ile ile
Ila kitu kinachowafanya wafanyakazi wabaki na wanachofanya ni Nidhamu ,upendo wa kazi husika, kujitoa na uamuzi wa kutulia kwa sababu hauna option nyingne iliyo bora zaidi.
Mi nalima kwa msimu miezi 3 tu miezi 9 napumzikaAtuambie huwa hachoki kulima kila mwaka?😀
Biashara na kilimo vinaweza kuwa na level na ukuaji tofauti na utumishi... biashara mtu anaweza kutanua wigo wake wa wateja, kuongeza mtaji, Kuna faida na hasara ambazo zinaupa akili excitement/disappoinment tofautiHata biashara, kilimo ni kurudia yale yale. Maisha ni marudio ya vitu vile vile. Jana ulikula ugali baada ya siku mbili utakuala tena ugali.
Kiukweli Kazi yoyote ambayo haikupi challenge mpya inaboa haraka.
ingawa kazi nying ulizotaja hapo juu kila siku zina challenge mpya. Sio kila siku ya kazi unarudia hali ile ile
Ila kitu kinachowafanya wafanyakazi wabaki na wanachofanya ni Nidhamu ,upendo wa kazi husika, kujitoa na uamuzi wa kutulia kwa sababu hauna option nyingne iliyo bora zaidi.
Ndio nnaiheshimu, na nnatambua kuwa hii ni moja ya faida zakeIHESHIMU BANGI BWANA MKUBWA
Hapa labda uongelee wanle wanaamkia sehemu moja kila siku.Huenda usinielewe ajira ni utumwa just imagine