Teh teh tehLol! Haha ID yako wewe mie nikukumbushe? Kwani umewahi kuwa na ID ngapi humu ndani?
Huwa naiacha na kufungua nyingne mpya ya zamani ndyo inakuwa R.I.P ukitaka sababu kila mtu anasababu zake binafs na huwa sababu hazilingani
nipo poa naendelea hofu kwako tu uliye mbali na dar kuna mambo mambo tu nilitaka tuongee tuchekePenda wewe pia mamie
Nililala mapema, si wajua leo job...
Vipi hali yako mamy wangu, Kulikoni usiku ulee
Teh teh teh
Mbona umesema umenikumbuka jamani...
Yaani kweli siikumbuki ile ID, Nikumbushe basi bhana.... Nahisi hii sijui yaaa.......
Nani huyooo mbaya hivyoNakubaliana nawe lakini kwanini mtu aseme uongo kwamba anasepa humu kwa kipindi kirefu na kudai ana kawaida ya kufanya hivyo kumbe anahamia kwenye ID nyingine?
Hao ni wanafiki mkuu wangu mm naongea ukweli kuwa nitabadili ID ila sitaondoka jamii forumsNakubaliana nawe lakini kwanini mtu aseme uongo kwamba anasepa humu kwa kipindi kirefu na kudai ana kawaida ya kufanya hivyo kumbe anahamia kwenye ID nyingine?
kwenye kitengo chako [emoji125]Nani huyooo mbaya hivyo
Ooohnipo poa naendelea hofu kwako tu uliye mbali na dar kuna mambo mambo tu nilitaka tuongee tucheke
Hao ni wanafiki mkuu wangu mm naongea ukweli kuwa nitabadili ID ila sitaondoka jamii forums
Mwaya nakutania tuuSasa kama huikumbuki ID yako mie nitakusaidia vipi Sakayo!? Pitia kabrashas zako labda utazikumbuka IDs zako zote. Naweza kuitaja na bado usiikumbuke.
Mdogo wangukwenye kitengo chako [emoji125]
Mwaya nakutania tuu
Niko na hii tuu, Wala hamna sababu ya IDs miingiii
HahahaHahahahaha lol! Ukiikumbuka iweke hadharani.
Tena ndio safi unamchora tu mtu, huku unacheka kimoyomoyo.Jamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..
Ooooh kumbeeee!!!Watu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya.
Huyu dada nampendaHaahahh
Fuatilia mwandiko
Mwandiko wa mtu unagundulika kirahisi
It wont be our faults at all.Na wakaka pia watuambie wasijeanza kututega kututongoza mara ya pili. Tukiwakubali tena mara ya pili tusilaumiane
Not your fault ila ndo keshakuinjoi sasaIt wont be our faults at all.
Nitumie pm I'd yako mpya nisije nikakutongoza mimiOoooh kumbeeee!!!