Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]"Hapo kazi tu" [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]"Hapo kazi tu" [emoji12]
Daby sijui yuko na mmama gani kamficha huko. Heaven Sent atakuwa kwa Benny maana sidhani kama kama ameshaanza kuchepuka na Bonny.
Duh!, Hongera sana. Wengine usingizi hauji bila tv ingawa si vizuri sana.No tv in my bedroom.....
Kazi juu ya kazi....kazi moja tu...kulala.
Yule kaka yangu yeye nataka majimama tu.[emoji16] [emoji38] [emoji28]
Na eti mmama gani [emoji2]
Okey! [emoji28]Yule kaka yangu yeye nataka majimama tu.
Hiyo ya kutokuangalia device yoyote kwa muda mrefu kabla ya kulala ilishanishinda[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Na ndio inavyotakiwa lakini. Wataalam hawashauri kuweka tv bedroom or kuangalia any kind of device kwa muda mrefu kabla ya kulala, kama mtu anataka kupumzika vizuri.
Lakini wengineo hapa tumejiwekea sheria zetu wenyewe.
Ndio, kwani nawe unatumia simu yenye mionzi mikali kama yangu?Hio device ina include Techno yangu?
Basi tubadilishane, au haumpendi dada yako?Yako imezidi....
Hiyo ya kutokuangalia device yoyote kwa muda mrefu kabla ya kulala ilishanishinda[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hayo ndio maneno sasa, si ndio maana nakupenda kaka yangu[emoji12]Nitakununulia ingine...
Daktari kazuia, shaurilo.Kuna raha kuchat kitandani...
Na kila kitu kizuri kina matatizo. Ama kweli hakuna kizuri kisicho na kasoro.Hawa madaktari nao kila kitu kizuri wanazuia....