Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Heaven Sent na Daby ndio sijui wako pori gani. Mimi na wewe tu ndio tumebaki humu.

Asee!, Hongera zao sana. HS wa kumwaminia, huyu Db hope atarudi usalimini.
Mmmh mmenisahau mama mashughuli, weekend hii. Nilikuwa busy kuotesha vigimbi; sijatekwa hata wala kubadili ID[emoji126] [emoji126]
Daby sijui yuko na mmama gani kamficha huko. Heaven Sent atakuwa kwa Benny maana sidhani kama ameshaanza kuchepuka na Bonny.
 
Back
Top Bottom