Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo sasa!! Yaani taabu tupu hakuna penye usalama.Hata chakula kizuri ndio wanasema kibaya....
Heaven Sent na Daby ndio sijui wako pori gani. Mimi na wewe tu ndio tumebaki humu.
Mmmh mmenisahau mama mashughuli, weekend hii. Nilikuwa busy kuotesha vigimbi; sijatekwa hata wala kubadili ID[emoji126] [emoji126]Asee!, Hongera zao sana. HS wa kumwaminia, huyu Db hope atarudi usalimini.
Daby sijui yuko na mmama gani kamficha huko. Heaven Sent atakuwa kwa Benny maana sidhani kama ameshaanza kuchepuka na Bonny.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmh mmenisahau mama mashughuli, weekend hii. Nilikuwa busy kuotesha vigimbi; sijatekwa hata wala kubadili ID[emoji126] [emoji126]
Nashukuru Sijatoka kapa, nimedaka na ua kabisa lol[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaah wewe tena!! Kama nakuona!
Wacha we!! Kwahiyo tutarajie good news soon!![emoji12] [emoji12]Nashukuru Sijatoka kapa, nimedaka na ua kabisa lol
Mbona tayari[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Wacha we!! Kwahiyo tutarajie good news soon!![emoji12] [emoji12]
Oooooh!! Basi vyema.Mbona tayari[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mmmh mmenisahau mama mashughuli, weekend hii. Nilikuwa busy kuotesha vigimbi; sijatekwa hata wala kubadili ID[emoji126] [emoji126]
Nashukuru Sijatoka kapa, nimedaka na ua kabisa lol
Hunipi hongera in advance? TehOooooh!! Basi vyema.
Hehe muanze tu maandaliziKumbee!..
Waacha!, Hongera sana. Itabidi tuanze kuandaa shughuli. 🙂
Mi namtizama tu, muache tu ajitoe ufahamu.Kumbee!..
Waacha!, Hongera sana. Itabidi tuanze kuandaa shughuli. 🙂
Hapana, unajua cha kufanya.Hunipi hongera in advance? Teh
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mi namtizama tu, muache tu ajitoe ufahamu.
Hapana, unajua cha kufanya.
Wazee leo tumekumbukwa nikawaita kwenye fursa kumbe wewe tayari sio mwenzetu tena!![emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wewe wapi huko tena? Em niite banaWazee leo tumekumbukwa nikawaita kwenye fursa kumbe wewe tayari sio mwenzetu tena!!
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Wewe wapi huko tena? Em niite bana
Mie sianzi hadi utambulisho rasmi ukamilike.Sawa mamie, your wish, our command..