Mie sianzi hadi utambulisho rasmi ukamilike.
Huyu mtoto haishi kunisuprize kila siku!!Umekuza manake. 🙂
Tukaumbuka, kwakweli mimi bado nasubiri.Haha, yasijetokea yaliyotokea..
Soon and very soonMie sianzi hadi utambulisho rasmi ukamilike.
Tukaumbuka, kwakweli mimi bado nasubiri.
Yameisha wakubwa zangu. Nilikuwa tu nataniaHuyu mtoto haishi kunisuprize kila siku!!
Haha, yasijetokea yaliyotokea..
Yameisha wakubwa zangu. Nilikuwa tu natania
Hizi soon zako ni za jupiter?Soon and very soon
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Yameisha wakubwa zangu. Nilikuwa tu natania
Hahhaha em usinikumbushe ya mama mkwe na nguvu za kutafuna ukoko. Mungu anatuonaTuna neno basi, sie twasubiri shughuli. Tugombanie Ukoko. 😀
Mchumba mwenyewe mkali yule, anafukuza wachumba. Mie nimeghairi.Tuna neno basi, sie twasubiri shughuli. Tugombanie Ukoko. 😀
Haha, anatuona haswa [emoji28]Hahhaha em usinikumbushe ya mama mkwe na nguvu za kutafuna ukoko. Mungu anatuona
Anataka kuwa na the best..tumpe subra.Mchumba mwenyewe mkali yule, anafukuza wachumba. Mie nimeghairi.
[emoji27] [emoji27] [emoji27]Hizi soon zako ni za jupiter?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ushatufanya watoto wenzio eti!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahhaha em usinikumbushe ya mama mkwe na nguvu za kutafuna ukoko. Mungu anatuona
Basi mama, vere suni[emoji12][emoji27] [emoji27] [emoji27]
Maji ya baridiii.....Kipi hicho?
Oooh!! Njoo unywe.Maji ya baridiii.....