multitalented123
Senior Member
- Nov 30, 2015
- 126
- 47
nimeona video ya pakajimmy ndo nalia tu hapa .poleni sana
watu mna vitukoWakuu mi natafuta mpenzi wa kua nae niko Dar njoo Pm kama uko tayari tuyajenge
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji39][emoji13] [emoji13] [emoji13]
Jamani vituko vipi tena!! nimeomba am in need kweliwatu mna vituko
pole sanaJamani vituko vipi tena!! nimeomba am in need kweli
Mamga bhanaaaUtauona ukitengemaa huo undugu
Hahaha mahondaw wangu... Tucheke kwa dhaaraaau... Nilishakuambiaga about this.. Na siyo mmoja... Wapo wengi wengi.. Nakuambiaga huyo fulani huyo na ID nyingine mpotezeee...
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Njoo unifundishe na mimi
[emoji57] [emoji57]
Nitamwendea na Id yangu ile ya kiume[emoji13] [emoji13]Aseme hapa ili ujue mbinu zitakazokukabili?!
Niko kwenye uhitaji mkubwa sanapole sana
Ha ha haaasikukumbuki vizuri labda ulikuwa mdogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani kuna sehemu umeona nimemkataa inna.
nimeona video ya pakajimmy ndo nalia tu hapa .poleni sana
Mmefanyaje wangu?Mamga bhanaaa