Kwakweli hata mimi nimeshangaa!Bi mkubwa, kuna watu uzee unawajia vizuri, sio kwa uromantic wa.....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]. Umemuona?
Ni wa mwaka huu! Umejiunga mwaka huu jf, ni matumaini na umri utakuwa wa chini zaidi.Jmni mbichii kiajeee
Hahaa haki. Me ndo nipo natafuta dawa ya kumpunga maruhani yake. Kutana naye kwenye 18 zake, macho yatakutokajeKwakweli hata mimi nimeshangaa!
Ila huyu huwa kama anavutaga bangi muda mwingine, kuna wakati unamkuta hadi unamtamani, weeeh ngoja maruwani yarudi sasa[emoji134] [emoji134]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaaaa!! Msinifanyie hivyo maana sasa story nitapiga na nani? Watanishangaa huyu mbibi urafiki na vitoto vipi tena!!!espy mbona ntakuwa niece wako badala ya shosti, rafiki ake mjukuu wako Heaven Sent [emoji28] [emoji124]
Mmmh hya bhanaaNi wa mwaka huu! Umejiunga mwaka huu jf, ni matumaini na umri utakuwa wa chini zaidi.
Hivi lile la kenya liliishia wapi?Teh teh.... Chezea penzi la tanga weyeeee
Jamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..
Teh hata najua basii kazimwa km mshumaa..... Chezea kasie wewe....Hivi lile la kenya liliishia wapi?
Hahahaaaa!! Msinifanyie hivyo maana sasa story nitapiga na nani? Watanishangaa huyu mbibi urafiki na vitoto vipi tena!!!
Kuna wakati nampigia mahesabu akiwa na mbebez anakuwaje naishia kucheka tu. Hebu hakikisha hiyo dawa umeipata haraka sana maana kanishinda tabia kwakweli, mara ajifanye hataki mara anataka basi balaa tupu!!Hahaa haki. Me ndo nipo natafuta dawa ya kumpunga maruhani yake. Kutana naye kwenye 18 zake, macho yatakutokaje
Aah mbele ya nanhii unaweza kuta ni mpole huyoo. Me naondoka mwenzangu, ngoja arudi akukute mwenyewe, balaa lake unalijua[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kuna wakati nampigia mahesabu akiwa na mbebez anakuwaje naishia kucheka tu. Hebu hakikisha hiyo dawa umeipata haraka sana maana kanishinda tabia kwakweli, mara ajifanye hataki mara anataka basi balaa tupu!!
Kila enzi na kitabu chake na mtume wake kiongozi! Asante kutukumbuka, wengine tunaibia ibia kwa nadra tu hasa kukiwa na matukio makubwa! utu uzima kazi sana aisee
Nae ataonekana mtoto mwenzenu sababu ya idHahaha, itabidi tumtafute atoto sasa aje akupe company. [emoji28]
Na alivyo na mashushu sasa!! Nisubiri twende wote.Aah mbele ya nanhii unaweza kuta ni mpole huyoo. Me naondoka mwenzangu, ngoja arudi akukute mwenyewe, balaa lake unalijua[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]