Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Bi mkubwa, kuna watu uzee unawajia vizuri, sio kwa uromantic wa.....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]. Umemuona?
Kwakweli hata mimi nimeshangaa!
Ila huyu huwa kama anavutaga bangi muda mwingine, kuna wakati unamkuta hadi unamtamani, weeeh ngoja maruwani yarudi sasa[emoji134] [emoji134]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahaa haki. Me ndo nipo natafuta dawa ya kumpunga maruhani yake. Kutana naye kwenye 18 zake, macho yatakutokaje
 
Kuna wakati nampigia mahesabu akiwa na mbebez anakuwaje naishia kucheka tu. Hebu hakikisha hiyo dawa umeipata haraka sana maana kanishinda tabia kwakweli, mara ajifanye hataki mara anataka basi balaa tupu!!
 
Aah mbele ya nanhii unaweza kuta ni mpole huyoo. Me naondoka mwenzangu, ngoja arudi akukute mwenyewe, balaa lake unalijua[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom