ha ha ha mi aisee sinaga ID namba mbili ila kuna majamaa huku nayajua kibao yamebadili ID cha kushangaza etii anakupiga sound tena!! haha sijui ndo wanatupima imani..watashindwa na kulegeaaaaaa hahaha kamwe sibadili Id yangu naipendaje kwanza imenipa michongo ya maana tu.Duh upo wewe? Naona imebidi uifufue old ID
My dear nilikuambiaje!!! Kaa futi 1000000000!!! We huoni na kauzi kaleta ka kuogopa kuchanganya madesa!!
Umeamkaje? Kwenu kuna mvua kama kwetu?Teh hata najua basii kazimwa km mshumaa..... Chezea kasie wewe....
Ulikua nani vile?Makubwa
Hivi hua unawagunduaje?ha ha ha mi aisee sinaga ID namba mbili ila kuna majamaa huku nayajua kibao yamebadili ID cha kushangaza etii anakupiga sound tena!! haha sijui ndo wanatupima imani..watashindwa na kulegeaaaaaa hahaha kamwe sibadili Id yangu naipendaje kwanza imenipa michongo ya maana tu.
Hafu wewe ndo nakuonaga kule kwa siri tuha ha ha mi aisee sinaga ID namba mbili ila kuna majamaa huku nayajua kibao yamebadili ID cha kushangaza etii anakupiga sound tena!! haha sijui ndo wanatupima imani..watashindwa na kulegeaaaaaa hahaha kamwe sibadili Id yangu naipendaje kwanza imenipa michongo ya maana tu.
unawagundua kupitia miandiko yao tu, kamwe haibadiliki hata uje kivingine! alafu kama mmeshazoea naye chitchat lazima tu ajisahau unakuta anaquote mada ikimgusa! na mengine mengiiiii...Hivi hua unawagunduaje?
wapi huko tena!!Hafu wewe ndo nakuonaga kule kwa siri tu
Ngoja nianze kuzoea muandiko wakounawagundua kupitia miandiko yao tu, kamwe haibadiliki hata uje kivingine! alafu kama mmeshazoea naye chitchat lazima tu ajisahau unakuta anaquote mada ikimgusa! na mengine mengiiiii...
Lile jukwaa la mpaka uombe luhusawapi huko tena!!
ha ha ha lile jukwaa siingii tena jamani we kaka unanisingizia.Lile jukwaa la mpaka uombe luhusa
Kuumbe umeacha basi sawa hata mii sijapita muda huko huenda kweliha ha ha lile jukwaa siingii tena jamani we kaka unanisingizia.
Dada angu umeaadimika sana... Ila naamini upo poa..ha ha ha lile jukwaa siingii tena jamani we kaka unanisingizia.
ha ha ha usinifanyie hivo alafu umeona sasa hii ID yako kwangu mpya!! ina maana utakua nawe umebadili jina eh maana kule sijawahi kugongana na wewe!! hahah.Kuumbe umeacha basi sawa hata mii sijapita muda huko huenda kweli
Wewe ni super star kule imekuaje huingii utamisiwa ujue?
nipo poa mwaya mdogo angu..tutafutane eh!Dada angu umeaadimika sana... Ila naamini upo poa..
Nafurah kama upo poa sisy.... Kule sikuon jaman... Au upo mtn siku hizi...??nipo poa mwaya mdogo angu..tutafutane eh!
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]ha ha ha usinifanyie hivo alafu umeona sasa hii ID yako kwangu mpya!! ina maana utakua nawe umebadili jina eh maana kule sijawahi kugongana na wewe!! hahah.
Alafu kule nilipigwa stop na baba watoto!! nisiingie si unajua balaa la kule full kuamsha vilivyo lala..haha