Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Duh upo wewe? Naona imebidi uifufue old ID
ha ha ha mi aisee sinaga ID namba mbili ila kuna majamaa huku nayajua kibao yamebadili ID cha kushangaza etii anakupiga sound tena!! haha sijui ndo wanatupima imani..watashindwa na kulegeaaaaaa hahaha kamwe sibadili Id yangu naipendaje kwanza imenipa michongo ya maana tu.
 
Hivi hua unawagunduaje?
 
Hafu wewe ndo nakuonaga kule kwa siri tu
 
Hivi hua unawagunduaje?
unawagundua kupitia miandiko yao tu, kamwe haibadiliki hata uje kivingine! alafu kama mmeshazoea naye chitchat lazima tu ajisahau unakuta anaquote mada ikimgusa! na mengine mengiiiii...
 
Ngoja nianze kuzoea muandiko wako
 
ha ha ha lile jukwaa siingii tena jamani we kaka unanisingizia.
Kuumbe umeacha basi sawa hata mii sijapita muda huko huenda kweli

Wewe ni super star kule imekuaje huingii utamisiwa ujue?
 
ha ha ha usinifanyie hivo alafu umeona sasa hii ID yako kwangu mpya!! ina maana utakua nawe umebadili jina eh maana kule sijawahi kugongana na wewe!! hahah.
Alafu kule nilipigwa stop na baba watoto!! nisiingie si unajua balaa la kule full kuamsha vilivyo lala..haha
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Athubuh kuamka muhimu sisy...
 
Back
Top Bottom