charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 5,992
ha ha ha mi aisee sinaga ID namba mbili ila kuna majamaa huku nayajua kibao yamebadili ID cha kushangaza etii anakupiga sound tena!! haha sijui ndo wanatupima imani..watashindwa na kulegeaaaaaa hahaha kamwe sibadili Id yangu naipendaje kwanza imenipa michongo ya maana tu.Duh upo wewe? Naona imebidi uifufue old ID