Mliobadili ID....

Hahaha!, uwiii!, espy mwenzio leo ntachapwaa! nikirudi nyumbani, sio kwa maujumbe haya! [emoji28]
Na Utachapwa kweli... Tashiriki kukuchongea na nikitumwa fimbo naletaaa bongez La mfimboo[emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ankooo msikie huyu hapa..etii anataka uwe naniliu wake,mi naogopa anko Daby mwambie basi mi bado mtoto anko
Namsubili anko wako ata kunipa niwe nakufundisha mimi ni mwalim mziri sana
 
Puma nayo nilishaisogeza muda.......nimebakiwa na ile LX V8......ndio naona inastahimili hizi mvua......
Kwa sasa usije maana hata kama unajua kuogelea hutastahimili........ngoja ngoja kwanza......

Aisee, wewe mtu umeadimika kama mizizi ya jiwe! Upo? Nadhani mvua hizi zimeangusha mikonga yote ya simu huko Yaenda, ndio maana ukaadimika kiasi hiki; na hivi WI-FI hazikamati huko, ni shida!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…