Naanzaje kwamfano and i have le super hubby in the world MO11 himself. We endelea kusaranda na dunia, ukiimaliza nawe utakuwa ushakwisha.[emoji23] [emoji23] [emoji23] nipauke kwa lipi sasa chaa naona unajifariji wakati wewe ndo unapauka
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
Mbona Kaboom alikuzoaga tu siku ile?Mimi mmoja wapo...hadi niingie kwenye gari yako niwe nakufahamu vizuri. Wanaume viumbe wa ajabu sana
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
Safari moja huanzisha nyingine. Huwa unawasaidia wote? Wanaume wenzio,wabibi,wamama,vichaa..... au mabinti tu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nipauke kwa lipi sasa chaa naona unajifariji wakati wewe ndo unapauka
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] ulishawahi kujiuliza kwa nini wananichamba? Ni hasira tu coz they can't have me. Af MO11 ni kaka yangu nikikuambia idadi ya wifi zangu you will be shocked ila kwa vile we kichwa maji nakuacha uendelee kujilisha upepo
Oooooh dear!! Get a life.[emoji23] [emoji23] ulishawahi kujiuliza kwa nini wananichamba? Ni hasira tu coz they can't have me. Af MO11 ni kaka yangu nikikuambia idadi ya wifi zangu you will be shocked ila kwa vile we kichwa maji nakuacha uendelee kujilisha upepo
Ngoja siku kifaa cha kutambua mioyo ya watu kikigundulika then tutapanda tu wala usihofu. Kumbuka hata shetani was once an Angel.Aisee mbona mna roho nyepesi hivyo? Mtu anajitolea kwa moyo safi then mnakuwa na mawazo ya kunyonywa damu....
Kumbe unaringa kweli nilifikiri nakuonea...Eti from no where tu huyoo napanda lift mtu hata simfahamu!! The world isnt that safe jamani. Mie hadi wanaonaga naringa, acha tu ninyeshewe ila nitafika niendako salama kuliko kuparamia tu magari ya watu nisowafahamu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe unaringa kweli nilifikiri nakuonea...
[emoji23] [emoji23] ni ushauri wa bure tu unaweza kuchukua au kuacha...ni suala la wakati tu wewe na kile kitoto chako kisicho na adabu kuondokaOooooh dear!! Get a life.
Kujifariji kawaida yako, no one can have you, even the devil himself. Mbinguni wala ahera haupo.
MO11 is here to stay, huo undugu wenu wa kulazimisha hapa kwetu hauna nafasi, sawa bibie!!
[emoji23] [emoji23] achana nae huyo ana stress za kuachwaHaha!, yaani nyie ni mwisho. 😀
Aisee mbona mna roho nyepesi hivyo? Mtu anajitolea kwa moyo safi then mnakuwa na mawazo ya kunyonywa damu....