Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Na kuquote ntaacha kabisa weee[emoji13] [emoji13] [emoji13]Muremboo.... Acha kukimbia sifa zako. Ngoja nijaribu bahati naweza kupata bila kuomba[emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuquote ntaacha kabisa weee[emoji13] [emoji13] [emoji13]Muremboo.... Acha kukimbia sifa zako. Ngoja nijaribu bahati naweza kupata bila kuomba[emoji12]
Mngejibu ndiyo....... Halafu mnamuuliza..Haha daah mtu akiita mrembo siitikagi kabisa lol..
Tumefika chuo ile 1st year, so na ugeni ule basi tukitembea ni kwenye makundi makundi. Kaja mkaka akatusalimia "habari zenu warembo " tukaitikia wenyewe. Alichotujibu sasa "Eeeh kumbe na nyinyi ni warembo". Aisee tulicheka
Me kwangu ni saa 12 tayari, so ain't gonna be surprisedUkianza kuitwa shangazi ujue hio ni saa kumi jioni...🙂🙂😉
Hatukutegemea lile jibu lake, tukajikuta tu tunachekaMgejibu ndiyo....... Halafu mnamuuliza..
"kwani na wewe ni mrembo?"
Eeeh ikinyesha sana, inashawishi kulala sana, na mama hapendi nilale sana[emoji125] [emoji125] [emoji125]Haishawishi sana....kumbe huwa inashawishi eeh.
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Sawa mrembo tutajirekebisha....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya.
Haha me nilivyokuwa 20s wengi wakawa wanaona kama my age ni kikwazo, eti bado mtoto. Now in my 30s demand naona inanishinda kabisa. ..old wine thing you know woram sayingNdio muda wa kuja na ID mpya...🙂🙂🙂
My wish is still valid[emoji13] [emoji13]Mid 30s.....u wish
[emoji78] [emoji78] [emoji78]Now u r talking.