Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Akirudi tu ntamdaka juu juuNaona kaamua kukimbia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akirudi tu ntamdaka juu juuNaona kaamua kukimbia.
Vipi story iliendelea? Maana sijatembelea kipande ile.Akirudi tu ntamdaka juu juu
Aaah hajaendelea banaVipi story iliendelea? Maana sijatembelea kipande ile.
Kaka yako napanga kuleta bango lingine, itabidi vigezo nipunguze maanake vile vya mwanzo mlilalamika sana.....Ile kigezo ambacho ahkibadiliki ni ID lazima iwe ina mwaka mmoja!Wewe ni kaka yangu ujue!! Tena kaka yangu kabisaaa.
unatafuta?Kaka yako napanga kuleta bango lingine, itabidi vigezo nipunguze maanake vile vya mwanzo mlilalamika sana.....Ile kigezo ambacho ahkibadiliki ni ID lazima iwe ina mwaka mmoja!
unataka mke au mgegedo part time?Ndio. Uko tayari niwekeze?
wewe niambie nisikie kutoka kwako isiwe ikawa nimekushinikizaWhat can u offer?
Nini hilo?!!
[emoji6]Nilitaka uje nikusikie...nilikumiss 🙂🙂
Nitajitahidi kuja mara kwa mara roho yako itulie vizuri [emoji6]Nikishakuona hapa roho yangu inatulia....🙂
Yea right! [emoji1]Wow...nitanenepa mwaka huu....
Last born wa mchepuko wangu