Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,026
[emoji23] [emoji23] ni ushauri wa bure tu unaweza kuchukua au kuacha...ni suala la wakati tu wewe na kile kitoto chako kisicho na adabu kuondoka
[emoji28] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] ni ushauri wa bure tu unaweza kuchukua au kuacha...ni suala la wakati tu wewe na kile kitoto chako kisicho na adabu kuondoka
Kweli hasidi hana sababu[emoji23] [emoji23] ni ushauri wa bure tu unaweza kuchukua au kuacha...ni suala la wakati tu wewe na kile kitoto chako kisicho na adabu kuondoka
Hii ndo adabu aliyokufundisha mama yakoKweli hasidi hana sababu
Hapana, ulonifundisha weweHii ndo adabu aliyokufundisha mama yako
Nyoo nikufundishe we nani kwanguHapana, ulonifundisha wewe
Kukosa mume kubaya, lazima uwe frustrated hivyo. Daddy kajua kukunyoosha, lala bana tehNyoo nikufundishe we nani kwangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona unajifariji na wewe kama mama yako...hivi wakiitwa kwenye semina watu wenye baba na wewe utaenda?Kukosa mume kubaya, lazima uwe frustrated hivyo. Daddy kajua kukunyoosha, lala bana teh
Nimewaamini wale wa juzi waliosema wanawake single hawana raha, wana stress tu, wameathirika kisaikolojia na wanaishi kama wakimbizi, yani wamekosa tumaini la kuishi. Hahaa jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona unajifariji na wewe kama mama yako...hivi wakiitwa kwenye semina watu wenye baba na wewe utaenda?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nani kakwambia niko singo? Au ni janjajanja ya kutaka kumjua mume wangu but you are not his typeNimewaamini wale wa juzi waliosema wanawake single hawana raha, wana stress tu, wameathirika kisaikolojia na wanaishi kama wakimbizi, yani wamekosa tumaini la kuishi. Hahaa jamani
Ndio.[emoji23] [emoji23] ulimuona?
Tuondoke kwenda wapi? Mwanangu ana adabu debe ila hauzideserve hata robo. Alafu tayari yuko kwa mumeweeee.[emoji23] [emoji23] ni ushauri wa bure tu unaweza kuchukua au kuacha...ni suala la wakati tu wewe na kile kitoto chako kisicho na adabu kuondoka
Sasa mie nimeachwa na nani?[emoji23] [emoji23] achana nae huyo ana stress za kuachwa
Hivi kweli wewe hasidi ni wa kumuuliza hata paka adabu kweli!!!!Hii ndo adabu aliyokufundisha mama yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii ndo adabu aliyokufundisha mama yako
Hapana, ulonifundisha wewe
Dady yako ndio kiboko yake, sasa hivi anaranda randa na njia tu. Na bado!!Kukosa mume kubaya, lazima uwe frustrated hivyo. Daddy kajua kukunyoosha, lala bana teh
Mume wako au mume wa mtu!! Una ujanja wa kumpata mume wako basiii!![emoji23] [emoji23] [emoji23] nani kakwambia niko singo? Au ni janjajanja ya kutaka kumjua mume wangu but you are not his type
Shida nikikutana na dada yangu ninaemheshimu kama wewe....
Hawasemi wanakuchora tu....Kama na dada anakuheshimu atakuwahi mapema! Yaani ukianza tu salamu anakuambia updates. Usiwe na Shaka, heshima ni kuheshimiana.
Shida sasa utakapokutana na ambae ulikimbia mizinga yake. Atakuvizia kwenye kona hadi ukome.
Type my left foot[emoji23] [emoji23] [emoji23] nani kakwambia niko singo? Au ni janjajanja ya kutaka kumjua mume wangu but you are not his type