Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona unajifariji na wewe kama mama yako...hivi wakiitwa kwenye semina watu wenye baba na wewe utaenda?
Nimewaamini wale wa juzi waliosema wanawake single hawana raha, wana stress tu, wameathirika kisaikolojia na wanaishi kama wakimbizi, yani wamekosa tumaini la kuishi. Hahaa jamani
 
Nimewaamini wale wa juzi waliosema wanawake single hawana raha, wana stress tu, wameathirika kisaikolojia na wanaishi kama wakimbizi, yani wamekosa tumaini la kuishi. Hahaa jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nani kakwambia niko singo? Au ni janjajanja ya kutaka kumjua mume wangu but you are not his type
 
[emoji23] [emoji23] ulimuona?
Ndio.
[emoji23] [emoji23] ni ushauri wa bure tu unaweza kuchukua au kuacha...ni suala la wakati tu wewe na kile kitoto chako kisicho na adabu kuondoka
Tuondoke kwenda wapi? Mwanangu ana adabu debe ila hauzideserve hata robo. Alafu tayari yuko kwa mumeweeee.

Huo ushauri wako ungeutumia ungekusaidia angalau uache kuhangaika na dunia maana hata hao unaowaita kaka zako ni vile wanakuonea aibu tu ndugu yao ila na wao hawakutaki maana unachafua jina la ukoo(japo ulilazimisha ukoo nao)
 
[emoji23] [emoji23] achana nae huyo ana stress za kuachwa
Sasa mie nimeachwa na nani?
Wewe ndio umeachwa tena kwa kashfa!! Dooh binti una roho ngumu hata shetani anakuogopa.
Hebu jisalimishe kwa Yesu mapema.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nani kakwambia niko singo? Au ni janjajanja ya kutaka kumjua mume wangu but you are not his type
Mume wako au mume wa mtu!! Una ujanja wa kumpata mume wako basiii!!

Mwanangu hawezi kuwa his type neverrrrrrrrrr!! Maana waume za watu kwake ni mwiko tena mkubwa maana alifunzwa akfunzika.
Yuko kwa mumewe kajitulizaaaa. We hasidi endelea kuranda na njia na stress zako.

Ukichoka Yesu bado ni jibu.
 
Kama na dada anakuheshimu atakuwahi mapema! Yaani ukianza tu salamu anakuambia updates. Usiwe na Shaka, heshima ni kuheshimiana.

Shida sasa utakapokutana na ambae ulikimbia mizinga yake. Atakuvizia kwenye kona hadi ukome.
Shida nikikutana na dada yangu ninaemheshimu kama wewe....
 
Back
Top Bottom