Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Mwanaume busy Pm za wadada unatongoza???
Kila Id upitie wewe? inashangazaa...
 
Kuna fala alikuja kunitongoza akajua mi demu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...kidogo nimwanike


Daaaah! hulka ya ajabu sana hii halafu ukute ni mtu mzima ana mvi mpaka kwenye ulimi kutwa kucha kutongoza tongoza
 
Back
Top Bottom