Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Bila kuchelewa kaa hapo, mhudumuuuu....Asante nakaribia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kuchelewa kaa hapo, mhudumuuuu....Asante nakaribia.
Weeee mbaba upo..amu nipo sana sema jf application kwa simu yangu inazingua ....nikaitoa.....kuiweka sijaweka hadi leo..naishia kuingia kusoma kupitia chrome bila kuchangia wala kulog in...
Nipo asee nawakosa sanaWeeee mbaba upo..amu nipo sana sema jf application kwa simu yangu inazingua ....nikaitoa.....kuiweka sijaweka hadi leo..naishia kuingia kusoma kupitia chrome bila kuchangia wala kulog in...
Ati nini......! Upo......., karibuuuuWeeee mbaba upo..amu nipo sana sema jf application kwa simu yangu inazingua ....nikaitoa.....kuiweka sijaweka hadi leo..naishia kuingia kusoma kupitia chrome bila kuchangia wala kulog in...
Weka ID yako ileeee.....Nipo asee nawakosa sana
It's Friday. 4:22pm. Thanks!
Haha Ipi hiyo mkuuWeka ID yako ileeee.....
Heading ya thread inahusika aiseeeHaha Ipi hiyo mkuu
Hahahah haya bhnHeading ya thread inahusika aiseee
UtajijuuJiwe gizani. Ukisikia yalaaah limempata mtu!
Pacha upo me kumiss mnoo mbn umenitupa hivyooo[emoji41] [emoji41]Jiwe gizani. Ukisikia yalaaah limempata mtu!