Mliobahatika kuhudhuria interview za TRA utumishi, tupeni mrejesho

Maswla ninya darsan kbsa kbsa hapo ngoma Ni ngumu
 
Kwa mtu mwenye cpa na akawa amepitia notice zake vizuri haya maswali anapata yote.
 
Huu ndiyo mtihani wanaolalamikia?,huu kabisa?
 
Wale wa ITA (Chuo Cha Kodi) watakuwa wanachekelea tu, huku watu wa UDBS, TIA, IFM wametoka wanalia.
mmmh, TIA wote wanaosomea accountancy au public sector accounting and finance kuna somo huwa wanalisoma linaitwa advance public finance and taxation, maswali karibia yote hayo yapo humo. hapo kimbembe kwenye kuotea cha kusoma, hapo ndo walipochamba.
 
mmmh, TIA wote wanaosomea accountancy au public sector accounting and finance kuna somo huwa wanalisoma linaitwa advance public finance and taxation, maswali karibia yote hayo yapo humo. hapo kimbembe kwenye kuotea cha kusoma, hapo ndo walipochamba.

Advanced public finance ni kila chuo wanasoma haswa watu wa accounting and Finance
 
Lakini how comes wewe mchumi,accountant au mwengine umeomba kazi ya tax mngmnt officer hlf usijikite kwenye nondo za tax?kumbuka pale sio chuoni, wanatafuta mfanyakazi wa fani husika
Achen kudharau wanaosema pepa ngumu hii pepa ngumu kweli kuna watu wamemaliza chuo miaka 5+ sio rahisi kukava kila pahala na kuwa na matirio sahihi wazee so waheshimiwe wanaosema pepa ngumu...

Kama we ulisoma humo wakatoa humo poa tu ila hapo wengi kifo natabiri watachukua kuanzia 50 hii

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Masahihisho watu tulikuwa kwenye pepa,,,
11.b. Ilikuwa ni Occarance of international double Taxation jurisdiction principles.

11.c Methods of eliminate international double Taxation
14. Explain 4 procedures of resolving Tax disputes
15.Ni hesabu ya CIF ambayo ipo upande wa Customs so kuletwa kwa watu wa Tax management ilikuwa kama Surprised na swali halikuwa direct ilikuwa na mitego kidogo,,
 
Ulibahatika kuyamaliza mkuu?
 
Hata bila Cpa huo mtihani ulikua simple sana
Mtiani ulikuwa Simple sema ulikuwa surprise watu wamejiandaa na Maresearch,, Unakuja kutoa hesabu ya Customs ambayo ni marks 25,, hapo hujaingia na calculation,afu pia ulikuwa mtiani mrefu ukilinganisa na mda,,,,Aya we mwenzetu unaeona mtiani mrahisi tutajie international double taxation jurisdictions princples
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…