Mliobahatika kupata kazi bila hata interview mtupe siri

You made myday mkuu
 
piga kazi mkuu wacha usijaribu kabisa kuchunguza kuhusu third parties
 
Kuna jamaa nilihadithiwa alisota 7yrs bila kazi ,mwishowe akaona kama mbwai hiwe mbwai akajiita mwenyewe interview shirika fulani kubwa la serikali lipo pale Ubungo stand alivyofika akasema
Nawapongeza tu mliopata kazi bila usaili tena zile taasisi za kibabe,Komaeni sana huko maana huku kitaa kugumu sana.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu hebu kuwa serious kidogo walaqhi', hii story tamu hivii unaiachiaje njiani.??
 
Mi kuna mbaba aliniangalia angalia tuu akaniuliza wewe unaitwa nani nikamwambia akaniuliza una umri gani nikamwambia akaniuliza kwenu wapi shule ulisomaga wapi nikamwambia . Akanipa karatasi akaniambia niandike majina yangu yote matatu na kabila na kijiji nilipitoka (hapo nikaanza kuingiwa na woga)yeye akaniambia usiogope wee andika ya ukweli .mi nikaandika akakichukua huku ananiuliza "unapatikana wapi sana sana nikikuhitaji"nikamwelekeza sehemu ambayo atanipata basi ndo ivo tena [emoji85][emoji85]
Siku ya siku ..................
Ntamalizia siku ingine saa hivi napatikani huku standi.[emoji42]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona sikumwona[emoji30]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hahahaha
 
Ilikuwaje ukapata hiyo connection ya kibabe au na ww bimdash ndio vileπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚???
Ah ah haaaa! Hamna mkuu,,, undugunization and nepotism ulichangia sana,

Japo kwasasa sipo huko tena nilishaachana nao Kitambo sana, baada ya kupata sehemu nyingine yenye mkwanja mrefu zaidi, green pasture!
 
Nimecheka saaaanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yategemea ni ofisi ya aina gani.

Ila ofisi zote "official" ni lazima utawekwa utaratibu wa kukuingiza na kama haupo huo utaratibu ndo utaona yalotokea sehemu kama BOT baada ya 2015.

Mtu katoka University of Manchester ana degree ya Computing lakini hapiti "vetting" makini anapewa kitengo nyeti, huo ni uduanzi.

Ila pia mara nyingi huwa kwawekwa kautaratibu ka kufanya ionekane njia sahihi zimepitiwa na kijana anaaanzia idara za chini.

Akianzia chini basi baada ya 6 months au mwaka apanda ngazi hadi kufikia kule juu kwenye mshahara mnono.

Lakini ofisi za kawaida na vikampuni kila kitu chawezekana.

Ila "connection" ni lazima.
 
Shukuru mungu anamtafuna kwa faida yako. Leo upo kazini unajipatia mkate wako wa kila siku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…