kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,184
- 3,221
Mkuu inauma sana ila sina namna, maana mama uwa ananikazania nimuite baba iki kitu napingana nacho sana ila kwa shingo upande namuita, inaumiza sanaShukuru mungu anamtafuna kwa faida yako. Leo upo kazini unajipatia mkate wako wa kila siku 😂😂😂