Mliobahatika kupata kazi bila hata interview mtupe siri

Mimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.

Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.
Vumilia kikubwa kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kazi yangu ya kwanza nilipata kabla sijamaliza chuo mwaka 2016,niliambiwa na mshua nenda ofisini fulani mpe hii karatasi huyu mtu,nafika pale yule boss kuniona tu akanambia kaandike CV jumatatu ilete,jumatatu nmepeleka cv nkaambiwa ukimaliza mitihani njoo,tareh 23 mwez wa saba namaliza UE tarehe

1 mwezi wa nane naingia ofisin, mshahara One million after makato yote!
Kazi ya pili mfanyakazi mwenzangu alianzisha kampuni yake basi tu akanipgia simu upo wapi siku hiz(mana ile ofisi ya mwanzo nilitoka nikamuacha yeye),nkamjibu npo kwangu,akaja hadi nilipo akanipeleka ofisini kwake akaniambia ofisi hii hapa kaa tufanye kazi!

Baada ya hapo kazi zote nazopata huwa napigiwa tu simu naenda kuonana na muhusika naanza kazi,kazi zangu zote huwa sifanyi interview,na nilizowahi fanya interview huwa nakosa.
Note😛rofessional yangu ni civil Engineer
 
Mimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.

Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.

boss usicheke mshahara wenyewe nilianza nao ni mdogo sana aisee, eti nina degree wakaaza kunilipa milion moja na laki 2 na nusu😭😭😢
🤣🤣🤣🤣
The chosen one!
Wewe unashindana na kidukulilo
Hatareee
 
Kazi yangu ya kwanza nilipata kabla sijamaliza chuo mwaka 2016,niliambiwa na mshua nenda ofisini fulani mpe hii karatasi huyu mtu,nafika pale yule boss kuniona tu akanambia kaandike CV jumatatu ilete,jumatatu nmepeleka cv nkaambiwa ukimaliza mitihani njoo,tareh 23 mwez wa saba namaliza UE tarehe 1 mwezi wa nane naingia ofisin,mshahara One million after makato yote!
Kazi ya pili mfanyakazi mwenzangu alianzisha kampuni yake basi tu akanipgia simu upo wapi siku hiz(mana ile ofisi ya mwanzo nilitoka nikamuacha yeye),nkamjibu npo kwangu,akaja hadi nilipo akanipeleka ofisini kwake akaniambia ofisi hii hapa kaa tufanye kazi!
Baada ya hapo kazi zote nazopata huwa napigiwa tu simu naenda kuonana na muhusika naanza kazi,kazi zangu zote huwa sifanyi interview,na nilizowahi fanya interview huwa nakosa.
Note😛rofessional yangu ni civil Engineer
Lucky you!
 
Mimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.

Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.
Unaweza kuta wewe ndio mtoto wa Boss.
 
Mkuu we piga kazi habari za bimkubwa kutafunwa muachie mzee wako atadeal nae
 
yaaani acha tu mkuu, na bibi mkubwa wangu alivyo na wezele kubwa, ndio maaana uyu boss uwa ananichangamkia sana sana aiseee
Mkuu mbona wewe ni muongo ivo, mwezi wa 8 tu ulikua hauna ajira? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20201207-015037.jpg
Screenshot_20201207-015037.jpg

View attachment 1643600View attachment 1643602View attachment 1643601
 
Mimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.

Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukute ndo baba yako
 
Mimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.

Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.
Hahaha we kweli ulipata kazi kilaini sana, bi mkubwa amekurahisishia maisha
 
acha tu ndugu, maana akuniuliza ata kama nitafanya nao kazi wanilipe sh ngapi yeye kesho yake akanipa tu mkataba nisaini, ndio ivyo nikasaibi ile milioni moja na laki mbili na nusu kwa shingo upande sana
Kwani B.Mkubwa bado wanawasiliana na Boss wako
 
yaaani acha tu mkuu, na bibi mkubwa wangu alivyo na wezele kubwa, ndio maaana uyu boss uwa ananichangamkia sana sana aiseee
Nyinyi vijana mnachekesha sana, yani una ubavu wa kungumzia wese la bi mkubwa, we fanya kazi hayo mengine achana nayo
 
Thread ya kihohozi
 
Back
Top Bottom