"Hiri rijamaa riongo sana"![]()
Naumia sana Mtu wangu wa karibu akifanikiwa, inanidhoofisha mwili
Habari za asubuhi hii wakuu, poleni na majukumu ya hapa na pale. Nina shida kidogo inanikabili ndugu zangu, tangu nilipokuwa na umri wa miaka 15 kuna hali ndani yangu ambayo sio ya kawaida, iliyonipelekea kuwa na kama ugonjwa wa kudhoofika mwili wangu na akili. Nina umri wa miaka 38, nina...www.jamiiforums.com
Thread ya kihohozi
Mimi Civil Engineer mwenzako, ukipata connection please nikununulie, Mwaka wa 2 huu game ya mtaa ngumu sanaKazi yangu ya kwanza nilipata kabla sijamaliza chuo mwaka 2016,niliambiwa na mshua nenda ofisini fulani mpe hii karatasi huyu mtu,nafika pale yule boss kuniona tu akanambia kaandike CV jumatatu ilete,jumatatu nmepeleka cv nkaambiwa ukimaliza mitihani njoo,tareh 23 mwez wa saba namaliza UE tarehe
1 mwezi wa nane naingia ofisin, mshahara One million after makato yote!
Kazi ya pili mfanyakazi mwenzangu alianzisha kampuni yake basi tu akanipgia simu upo wapi siku hiz(mana ile ofisi ya mwanzo nilitoka nikamuacha yeye),nkamjibu npo kwangu,akaja hadi nilipo akanipeleka ofisini kwake akaniambia ofisi hii hapa kaa tufanye kazi!
Baada ya hapo kazi zote nazopata huwa napigiwa tu simu naenda kuonana na muhusika naanza kazi,kazi zangu zote huwa sifanyi interview,na nilizowahi fanya interview huwa nakosa.
Note😛rofessional yangu ni civil Engineer
Nenda kamuone kamchape kwanzaHabari wadau,
Kama kichwa kinavyojieleza; najua kuna wababe wapo maofisini hawajui interview ni nini. Hebu watupe siri walifanya fanyaje mpaka wakaaminika na boss wakapita bila kupigwa.
Amini usiamini hawa watu duniani wapo wengi sana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahah[emoji1][emoji1][emoji14][emoji14][emoji3577]Mimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.
Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.
Hebu muulize zile millioni 15 kapeleka wapi![]()
Naumia sana Mtu wangu wa karibu akifanikiwa, inanidhoofisha mwili
Habari za asubuhi hii wakuu, poleni na majukumu ya hapa na pale. Nina shida kidogo inanikabili ndugu zangu, tangu nilipokuwa na umri wa miaka 15 kuna hali ndani yangu ambayo sio ya kawaida, iliyonipelekea kuwa na kama ugonjwa wa kudhoofika mwili wangu na akili. Nina umri wa miaka 38, nina...www.jamiiforums.com
Thread ya kihohozi
Hiyo tayari ilikuwa ni interview. Au hujui maana ya interview?Mi kuna mbaba aliniangalia angalia tuu akaniuliza wewe unaitwa nani nikamwambia akaniuliza una umri gani nikamwambia akaniuliza kwenu wapi shule ulisomaga wapi nikamwambia . Akanipa karatasi akaniambia niandike majina yangu yote matatu na kabila na kijiji nilipitoka (hapo nikaanza kuingiwa na woga)yeye akaniambia usiogope wee andika ya ukweli .mi nikaandika akakichukua huku ananiuliza "unapatikana wapi sana sana nikikuhitaji"nikamwelekeza sehemu ambayo atanipata basi ndo ivo tena [emoji85][emoji85]
Siku ya siku ..................
Ntamalizia siku ingine saa hivi napatikani huku standi.[emoji42]
Sent using Jamii Forums mobile app
Una wasi wasi gani wakati bi mkubwa aliekuambia uende kwa baba yako akupe kazi. Yaani wewe ni kiazi kweli.Mimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.
Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.
We fala umenifanya nimecheka sana kama mazuri vile [emoji3][emoji3][emoji3]Mimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.
Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.
[emoji23][emoji23]Mimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.
Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.
Jitahidi ku connect na watu,,be humble,kama una maringo weka pembeni,hujui utakaeconnekti nae anaweza kua msaada mkubwa kwako,,dharau weka pembeniSisi wengine tuso na connection tuende wapi?
Okay ngoja tuendelee kutembeza mitumba
Hahhaa mkuu una ujasiri mkubwa kuandika hiyo mistari ya mwishoMimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.
Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.
Mkuu unatumia mihadarati?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaaani acha tu mkuu, na bibi mkubwa wangu alivyo na wezele kubwa, ndio maaana uyu boss uwa ananichangamkia sana sana aiseee
Hahahhaha...Khaa!yaaani acha tu mkuu, na bibi mkubwa wangu alivyo na wezele kubwa, ndio maaana uyu boss uwa ananichangamkia sana sana aiseee