Mliobahatika kupata kazi bila hata interview mtupe siri

Mliobahatika kupata kazi bila hata interview mtupe siri

Kuna wababe hao hawajitolei wala hawapigi intern hao .Mtu anapigiwa simu kesho anaanza kazi wakati wenzake wanapga interview yy kasharamba shavu.

Amini boss!
Uko sahihi mkuu binafsi nilimaliza chuo sikuwahi Kuomba kazi popote nilikuwa na mishe zangu ndogo ndogo town,miezi minne baadae nikapigiwa simu na mama tuliyesoma nae chuo(alikuwa mkubwa wa umri)

Akaniuliza ulishapata ajira nikamwambia wala Sijaomba popote,akaniambia njoo haraka Sana mkoa X na nauli nakutumia.]

Akanitumia laki,kesho yake nikaenda,kufika akanipokea mpaka kwa mkuu wa taasisi akamwambia Yule kijana Ndio huyu,nikaambiwa tu salary kiasi fulani Kama una afiki chukua ufunguo wa nyumba kabisa kajiandae urudi Kuanza kazi baada ya Wiki moja.

Baada tu ya mwezi mmoja yule mama aliyeniita akapanda ngazi akawa mkuu wa taasisi yule mwingine akahamishwa,yani maisha yalikuwa Mtelezo mnooo.
Baada ya mkataba wa Kwanza kuisha Ndio ananimbia leta vyeti tuweke kwenye faili

Nilichogundua ni kwamba yule mama alikuwa ananiona tofauti na Vijana wengine hasa kwenye group assignments maana alikuwa nami grp # 10,vijana uvivu,matusi,ubishi nk.Ishi na Watu vizuri
 
Mimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.

Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.
Maza analiwa Sana tu kila style.
 
Boss umenikumbusha mimi nitashea, baada ya kumaliza chuo 2009( sitotaja coarse )nilipata kazi kwenye kampuni ndogo tu iliyopo dar, walikuja kutuchukua tu tulikua 3, nikafanya kazi kama mwaka mshahara uliku 350k na vitu vidogo vidogo ikafika 420k then nikaacha, Ikumbukwe sikufanya interview wala nini, makampuni yalikua na tabia ya kuja mlimani na kuwambia wakuu wa idara nahitaji wahitimu kadhaa.

Nilikua na kimtaji nikafanya biashara kama baada ya miezi sita nika anza kutafuta kazi tena baada ya biashara kufa, wakati ule tulikua tuna andika barua ya general ukifika nje ya kampuni au office unaulizia anwani ya kampuni husika kwa kalamu unatia vyeti unafunga una acha getini, sasa nilifanya hivyo kwa makampuni mengi sana, nikasota mwaka mzima mtaani lakn wakati huo nia yangu kubwa nilikua nataka kwenda kufanya kazi mgodini, nikaomba migod karb yote unayoijua wewe tanzania.

Nikiwa kitaa nikakutana na mzee mmoja mcha mungu sana, katika story story akajua sina kazi akawa ananiambia ukitaka kitu chochote kwenye hii dunia mungu anakupa ila shart uombe kwa dhati, moja ya vitu aliniambia vina nguvu sana na watu hawajui ni kumtumaini mungu, kutoa sadaka kwa kunuia kusudio lako na kuamka usiku kumlilia mungu, ikumbukwe duka limesha kufa hapo, msoto ulikua una anza kua wa kweli, Yale maneno ya yule mzee niliyaamini sana sijui kwa nini( tukiwa na shida hua tuna mwabudu sana Mungu) sasa basi nikawa naenda kuswali natoa sadaka msikitini na wasio jiweza huku nikiwa nimenuia lile hitaji langu la kazi mgodini kama mara 3 kwa week nikawa naamka usiku naswali rakaa 2 halafu na anza kumlilia mungu juu ya hitaji langu, nakumbuka jirani yangu mmoja aliwahi nisikia nikilia usiku asubuhi akauliza nikakataa.

Sasa basi baada ya muda kama miezi 4 nikapigiwa sm, haloo wewe ndio flani ndio, mimi HR kutoka mgodi flani nimeiona barua yako hapa ulituma miezi 6 iliyopita, Aliuliza sahivi unafanya kazi wapi nikasema sehemu flani, ikumbukwe kwenye barua zangu niliendelea kusema nafanya kazi ile kampuni niliyo acha kazi, akaniambia unalipwa mshahara kiasi gani, nilishindwa kujibu sababu mdomo ulishindwa kujibu, akasema sawa kampuni yetu inatoa ofa ya mshahara wa kuanzia sh 1.2m.

Nilivyokua na shida nilishindwa hata kujibu kitu kwa kuduwaa, Akasema njoo kesho uchukue 140k ya nauli uende site mshahara tutaelewana zaidi kesho, Ikumbukwe sikumbuki barua niliyotuma wala simjui huyo HR na wala hakutaka kuongea maneno mengi na mimi kama vile ananijua, baada ya kukata simu nikabaki nimeduwaa wee nikashindwa kufanya chochote nikajua kuna mtu ananifanyia mchezo, nikajiaminisha hivyo nika achana nayo, kesho yake saa 3 asubuh yule bwana akapiga tena sm ila kwa namba nyingine nikapokea akaniambia hujafika, nikamwambia bado akasema mimi natoka ukifika ulizia fulani, Ikabid niende( sitotaja kampuni wala office) kufika nikapokelewa na mdada 1 baada ya kujitambulisha nikapewa mkataba na nauli nikaambiwa sign hapa, Sijaelewa kabisaa, nikasign bila kusoma akapiga copy akanipa ile original ndo nikaisoma sasa, ilikua mgodi wa dhahabu, mshahara 1.5m sijua 8weeks to 2 week rotation na n.k. sasa basi nikaambiwa niende site.

Nilikuja kumjua yule HR baada ya kuja site kama miezi sita baadae cha ajabu alipokuja hajanishangaa mimi nikawa nashangaa mana simjui nilifikir labda alinichanganya hivyo nitafukuzwa. Hivi ndivyo nilinyopata kazi na Mpaka leo maamini ile kazi nilipewa na mungu na huwa nawaambia sana watu, wanaonijua watanitambua mimi ni nani.
 
Boss umenikumbusha mimi nitashea, baada ya kumaliza chuo 2009( sitotaja coarse )nilipata kazi kwenye kampuni ndogo tu iliyopo dar, walikuja kutuchukua tu tulikua 3, nikafanya kazi kama mwaka mshahara uliku 350k na vitu vidogo vidogo ikafika 420k then nikaacha, Ikumbukwe sikufanya interview wala nini, makampuni yalikua na tabia ya kuja mlimani na kuwambia wakuu wa idara nahitaji wahitimu kadhaa,
Nilikua na kimtaji nikafanya biashara kama baada ya miezi sita nika anza kutafuta kazi tena baada ya biashara kufa, wakati ule tulikua tuna andika barua ya general ukifika nje ya kampuni au office unaulizia anwani ya kampuni husika kwa kalamu unatia vyeti unafunga una acha getini, sasa nilifanya hivyo kwa makampuni mengi sana, nikasota mwaka mzima mtaani lakn wakati huo nia yangu kubwa nilikua nataka kwenda kufanya kazi mgodini, nikaomba migod karb yote unayoijua wewe tanzania. Nikiwa kitaa nikakutana na mzee mmoja mcha mungu sana, katika story story akajua sina kazi akawa ananiambia ukitaka kitu chochote kwenye hii dunia mungu anakupa ila shart uombe kwa dhati, moja ya vitu aliniambia vina nguvu sana na watu hawajui ni kumtumaini mungu, kutoa sadaka kwa kunuia kusudio lako na kuamka usiku kumlilia mungu, ikumbukwe duka limesha kufa hapo, msoto ulikua una anza kua wa kweli, Yale maneno ya yule mzee niliyaamini sana sijui kwa nini( tukiwa na shida hua tuna mwabudu sana Mungu) sasa basi nikawa naenda kuswali natoa sadaka msikitini na wasio jiweza huku nikiwa nimenuia lile hitaji langu la kazi mgodini kama mara 3 kwa week nikawa naamka usiku naswali rakaa 2 halafu na anza kumlilia mungu juu ya hitaji langu, nakumbuka jirani yangu mmoja aliwahi nisikia nikilia usiku asubuhi akauliza nikakataa. Sasa basi baada ya muda kama miezi 4 nikapigiwa sm, haloo wewe ndio flani ndio, mimi HR kutoka mgodi flani nimeiona barua yako hapa ulituma miezi 6 iliyopita, Aliuliza sahivi unafanya kazi wapi nikasema sehemu flani, ikumbukwe kwenye barua zangu niliendelea kusema nafanya kazi ile kampuni niliyo acha kazi, akaniambia unalipwa mshahara kiasi gani, nilishindwa kujibu sababu mdomo ulishindwa kujibu, akasema sawa kampuni yetu inatoa ofa ya mshahara wa kuanzia sh 1.2m. Nilivyokua na shida nilishindwa hata kujibu kitu kwa kuduwaa, Akasema njoo kesho uchukue 140k ya nauli uende site mshahara tutaelewana zaidi kesho, Ikumbukwe sikumbuki barua niliyotuma wala simjui huyo HR na wala hakutaka kuongea maneno mengi na mimi kama vile ananijua, baada ya kukata simu nikabaki nimeduwaa wee nikashindwa kufanya chochote nikajua kuna mtu ananifanyia mchezo, nikajiaminisha hivyo nika achana nayo, kesho yake saa 3 asubuh yule bwana akapiga tena sm ila kwa namba nyingine nikapokea akaniambia hujafika, nikamwambia bado akasema mimi natoka ukifika ulizia fulani, Ikabid niende( sitotaja kampuni wala office) kufika nikapokelewa na mdada 1 baada ya kujitambulisha nikapewa mkataba na nauli nikaambiwa sign hapa, Sijaelewa kabisaa, nikasign bila kusoma akapiga copy akanipa ile original ndo nikaisoma sasa, ilikua mgodi wa dhahabu, mshahara 1.5m sijua 8weeks to 2 week rotation na n.k. sasa basi nikaambiwa niende site. Nilikuja kumjua yule HR baada ya kuja site kama miezi sita baadae cha ajabu alipokuja hajanishangaa mimi nikawa nashangaa mana simjui nilifikir labda alinichanganya hivyo nitafukuzwa. Hivi ndivyo nilinyopata kazi na Mpaka leo maamini ile kazi nilipewa na mungu na huwa nawaambia sana watu, wanaonijua watanitambua mimi ni nani.

Kama una connection migodini uko naomba unisaidie ata nipate kujitolea tu maana ndoto yangu ni kufanya kazi huko.

Elimu yangu ni shahada ya kwanza ya Uhandisi Mitambo (mechanical engineering) nimehitimu 2019
 
Mimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.

Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.

Bi mkubwa ana umri gani
 
Mimi mama aliniambia nenda pale kwa baba ako (uyu baba sijawahi muona kiukweli kabisa tangu nazaliwa) na kihualisia sio baba yangu basi nimefika pale nikaambiwa wewe ndio kikoozi, nikamuambia ndio akasema kumbe joyce ana mtoto mkubwa ivi, akaniambia karibu chai, nikanywa chai, nikaonyeshwa kiti changu na computer yangu ya ofisini. Nikapewa na laki 3 na nusu ya maandalizi ya kazi.

Hvyo, ila uyu boss wangu uwa nina wasiwasi uwa anamtafuna bi mkubwa wangu.
[emoji44]
 
Back
Top Bottom