Habari wadau, Kama kichwa kinavyojieleza; najua kuna wababe wapo maofisini hawajui interview ni nini. Hebu watupe siri walifanya fanyaje mpaka wakaaminika na boss wakapita bila kupigwa. Amini usiamini hawa watu duniani wapo wengi sana. πππππ