Mliobobea katika 'Saikolojia' na 'Maono' kwa 'Msisitizo' wa 'Kauli' ya Rais Dkt. Magufuli mnamwambiaje 'Prime' Majaliwa?

Aijuaye kesho ni Mungu pekee, yeye mwenyewe anaweza kuamka kesho akiwa siye...Neema ya Uhai ni ya Mungu pekew
 
Aijuaye kesho ni Mungu pekee, yeye mwenyewe anaweza kuamka kesho akiwa siye...Neema ya Uhai ni ya Mungu pekew

Jifundishe mwenyewe hilo kama mpaka leo ulikuwa hujui hili. Ndio maana mambo ya serikali hii Mungu wa Mbinguni anatajwa sana. Tumesahau kwa kipindi sasa miungu ya Mlingoti. Nchi tulijilani wenyewe. Na kwa uwezo wa Mungu wa mbinguni huko hatutarudi tena. Hata kama mtajitahidi kuwashambulia viongozi wa dini waliokata shauri kusimama na serikali hii.
 
Mkuu wenu hajielewi, anambwelambwela tu, na Sasa anaogopa sanctions na Sasa anatafuta rafiki wa kwelo wa kwenda naye The Hague
 
Mimi Nadhani pengine Rais magufuli alikosa wa kumteua uwaziri mkuu, Hivyo hayo yote ni kumtaarifu majariwa ya kwamba mda wowote akiona chuma kingine kinafaa atamteua

Hivi mtu kama Dr Charles kimei ni wa kua mbunge tuu ?? Nasubiria kuona makubwa kutok kwake
 
Ubaya wa Watawala wengi hutumikia zaidi Vyeo vyao badala ya kuwatumikia Wananchi ipasavyo ,hii ina pelekea kujipendekeza kwa wakubwa wao.

Matokeo ya Watu wa aina hii wapo radhi kufanya lolote ili kusalia Madarakani ,penye Madaraka pana mengi na CCM pia wapo Mafisi maneno aliyo pewa Mh Waziri Mkuu ni makali ajitahidi tu kuyazingatia na wengine wenye Ulafi Ujumbe utakuwa ume wafikia hata kama alie semwa ni Mh Waziri Mkuu..
 
Kwanza Magufuli ameshusha hadhi ya waziri mkuu..huwezi kumwapisha waziri mkuu ambae kimamlaka ni namba 4.ukamwapisha na mawaziri w kawaida kula kiapo
Huo ni uvunjifu wa heshima wa cheo kwa wateuzi wako.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]shida pekee ya sisi wa TZ tushazoea unafki, mtu akiwa mkweli anakuwa adui
Na Mimi ni hii hii tabia yangu ya Kutopenda Unafiki, Kudanganya na Kujipendekeza ( Kujikomba ) kwa Watu imenifanya 'nichukiwe' na Watu wengi.
 
Hahahhaahhaaahahahhaaha Asante Raisi mtarajiwa
Karibu sana 'Mpiga Kura' wangu Mtarajiwa na najua nina 'Kura' zote tu tena za Kutosha kabisa kutoka kwa JamiiForums Members Wote hapa Mkuu.
 
Kwa tunaojua / tunayoyajua 'Makosa' yake tokea alipokuwa 'Big Boss' pale 'Azikiwe' Dar es Salaam kumpa 'Uwaziri Mkuu' ni 'Kuwatusi' Watanzania.
 
Kwanza Magufuli ameshusha hadhi ya waziri mkuu..huwezi kumwapisha waziri mkuu ambae kimamlaka ni namba 4.ukamwapisha na mawaziri w kawaida kula kiapo
Huo ni uvunjifu wa heshima wa cheo kwa wateuzi wako.
Kiitifaki na hata Kikatiba ( katika Kiapo ) hakuna Kosa lolote au Uvunjifu wowote ule wa 'Kiutaratibu' amefanya. Pelekeni huko 'Chuki' zenu Kwake.
 
Kumbe alimtumia meseji ya kujipendekeza ya pongezi..mara ooooh umeapa vizuri lakini jiwe hakujibu ..

Kuna kitu
Majaliwa naye hakujua kama ana interfere kiapo!!!
 
Ukiwaona walivyotulia kwenye kalenda ya serikali utadhani ni mapacha kumbe 🤣🤣 ...sijui kama angemteua mwingine hiyo kalenda ingechapishwa mpya!!!
 
Majaliwa ana siku chache sana za kuwa Waziri Mkuu. Ajiandae kisaikolijia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…