Mliobobea katika 'Saikolojia' na 'Maono' kwa 'Msisitizo' wa 'Kauli' ya Rais Dkt. Magufuli mnamwambiaje 'Prime' Majaliwa?

Utakuwa rais wa mangariba.
Sifa ya ushirikina mbona hujaitaja!!?
Sifa yako kubwa hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Mtazamo wangu ni huu, na nipo huru kukosolewa.

1----- Magufuli na Majaliwa wapo tofauti katika mitazamo na utendaji kazi kwa neno jingine hawaivi, jambo hili limo ndani (inside issue).

2---- Watu walishaanza toka zamani kabla ya uchaguzi kwamba Majaliwa hatorudi katika uwaziri mkuu hivyo Magufuli alishasikia hizo tetesi, tabia ya Magufuli ni siku zote kwenda kinyume na tetesi za watu, yaani hapendi kufuata kile kinachosemwa na watu na ndiyo maana Kamrudusha tena Majaliwa kwani asingemrudisha ingeonekana kasikiliza na kafuata tetesi za watu.

3---- Magufuli anamtafuta mtu mwingine wa kuchukua nafasi ya Majaliwa ndiyo maana kisha mpa taarifa mapema ajiandae kisaikolojia na pia hiyo ni huruma au hisani au shukurani aliyopewa ya muda mfupi atakaokaa katika cheo cha uwaziri mkuu kwani ni mambo "makubwa" wameyafanya pamoja katika uchaguzi mkuu uliopita, mambo ya kupora haki za wananchi kujichagulia wapendacho, bila shaka siri za mambo yaliyofanyika wote wanazijua.

Kwa kauli hizo za Magufuli juu ya Majaliwa ni sawa na baba kumwambia mwanaye; Jirekebishe ama sivyo nitakuadhibu. Nimechoka na tabia na utendaji wako nikimpata mtoto mwingine atakuja shika mahala pako.

Pia dini ni kinga kwa Majaliwa katika nafasi hiyo ya waziri mkuu, kwani tayari tetesi zimekuwepo kwamba watu wa dini fulani wanapendelewa katika nafasi za uwaziri.

****Nahofia watu watakuja na povu mdomoni.🤣✊🏻✌🏻✌🏻✌🏻✌🏻
 
Inawezekana hakutaka Mh. aendelee kuwa PM,labda kashinikizwa kumteua!Refer pia hutuba ya PM siku ya mkutano mkuu wa CCM,ni kama alishaanza kumdelete.Mtazamo wangu huo.
 
Wewe upo sahihi kwa asilimia 💯
 
Ukumbuke Paskal Mayalla aliambulia kura moja tu.
Hata na Wewe Rafiki yake tena Kamarada ( Comrade ) kabisa ulimnyima 'Kura' yako? Mimi najua Watanzania 99.9% Watanichagua tu Mkuu amini.
 
Kassim Majaliwa Kassim hana 'ubavu' huo wa Kukikataa hicho 'Cheo' tena yawezekana sasa ndiyo ataomba awekewe na zamu ya Kumlamba Miguu.
 
Prof Palamagamba Kabudi - ninaishi wosia watu wawili;

"Usiruhusu watu wakuandae kwa cheo chochote wala usijiandae kwa cheo chochote. Ukiwaruhusu watu wakuandae kwa cheo chochote na haswa kama hawana mamlaka ya uteuzi au hawaamui kwa kura zao, utafadhaika na kuishi maisha ya shida. Usijiandae kwa cheo chochote maana ukipata utakua na kiburi na fahari, na ukikosa utamchukia yule aliyepewa na kumfanya adui yako. Kumbe ndio kudra ya mwenyezi Mungu na ndio fungu lake - Baba mzazi rev Aidan Kabudi


"..........Kwa kiongozi yoyote aliyeitwa kuwa msaidizi kama Haruni alivyoitwa kwa Musa JUA KIMO CHAKO, JUA UKOMO WAKO, HESHIMU MIPAKA YAKO"
Kiongozi mkuu hazoeleki na usimzoee, tii, mheshimu, mshauri kwa hekima na kiasi, na akiamua tofauti na ushauri wako usinune. Utekeleze kama vile hukuwahi kumshauri tofauti na alivyoamua. Na akitekeleza kama ulivyomshauri usitoke ukaringa na kutamba hata kwa mke wako au kwa mme wako maana yote ni maamuzi yake" - Cardinal Pengo
 
Kama nilivyokuwa nimefikiria. Baada ya kutukanwa kote kule na hata kutishiwa shangazi yake….! Angesema asante. Hilo lingemjenga na pngine kujitokeza tena baadaye kama mtu who stood up to a bully!
Angekuwa ni Mtu tu wa kutokea Mkoani Kwetu Mara ( Musoma ) ushujaa huu angeweza ila hakuna Watu 'dhaifu' Tanzania kama wa Kutokea Lindi.
 
Afanye hivi;
1.Aongoze kwa hekima na busara sana.

2. Atambue jamaa hatupenda sana amteue kuwa PM tena, ila kuna mtu alipenda achukue nafasi hiyo(sitomtaja hapa)

3. Ajiulize kwa nini rais amejaribu kufuatilia historia ya mawaziri wakuu waliopita, alitaka kufanya nini!?

4. Aitumikie nafasi hii kwa muda fulani punde waziri yeyote akifanya uzembe utakaoigharimu nchi yeye(PM) ajiuzuru haraka KAMA KWELI ANAPENDA BAADAE KUWA KIONGOZI MKUBWA.

5. Hasipo zingatia kipengere namba 4, atajuta sana.
 
Mbona kazi za jiwe zimekuwa za masimango sana!
Kwani huwa 'anawalazimisha' kwa Kuwashikia 'Jiwe' Kubwa la 'FATUMA' hao ( hawa ) Wateule wake Mkuu? Rais Dk. Magufuli hafagilii 'Upuuzi' tu.
 
Hugo Magu na Majaliwa wake wanazuga watu tu... Hawezi kumfukuza Huyo.. Kampigia chapuo kila kona kwenye kampeni.. Lao ni 1 hao..Magu acha kuzuga Wanyamwezi hapa.. Si WANYAMWEZI tushaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…