Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
Mchaga flani hivi.Unataka kujua Malissa au alichopost.Alisema X-ray za Temeke hospitali zilikuwa hazifanyi kazi(ukweli) na waziri wa afya akaja kusema kuna vitu watumishi wa hiyo hospitali walifanya ndivyo sivyo.Malisa ndo nan?
Yaani utasema hakuna sheria za kumshughulikia Mfanyakazi anayevunja taratibu za kazi..UDIKTETA uchwara tuKwamba mtu aadhibiwe kifo kwa kuchezea mashine? Ni mashine gani hio?
Hivi CCM ndo mmeamua kuwa mazuzu kabisa. Kila anayekosea adhabu yake ni kifo? Mnathinitisha Mchengerwa anahusika kwenye Mauaji nchini?Huyu mwamba mwenye dhamana ya Wizara yenu hatanii na Wala hataniwi, ni Bora mkafikiria kwenda kuishi nje ya nchi kama bado mnapenda kuendelea kupumua katika hii Dunia kabla hamjaaimbiwa parapanda.
Natumaini mmenielewa.
Wanafikiri wana haki ya kuamua nani aishi na nani asiishi kwa matakwa yao wenyeweYaani utasema hakuna sheria za kumshughulikia Mfanyakazi anayevunja taratibu za kazi..UDIKTETA uchwara tu
Kwanini uhujumu wagonjwa je wakifaWanafikiri wana haki ya kuamua nani aishi na nani asiishi kwa matakwa yao wenyewe
Weka link hapaAnyway anaongelea waziri wa afya na watumishi wa hospitali ya Temeke.Kuna habari nadhani alianza kupost Malisa unaweza kusoma hiyo kupata undani wa taarifa
Habari inahusu X-ray kuwa hazifanyi kazi hospitali ya TMK.Habari alianza kuripoti Malissa(ambaye ni member pia JF) anadai alidokezwa na mdau kwamba hospitali ya Temeke X-ray hazifanyi kazi(ilianza kama tetesi badae ikawa ni kweli baada ya waziri kufika pale)Weka link hapa
haaaaaaaaaaaaaaaaaa, mchengerwaHuyu mwamba mwenye dhamana ya Wizara yenu hatanii na Wala hataniwi, ni Bora mkafikiria kwenda kuishi nje ya nchi kama bado mnapenda kuendelea kupumua katika hii Dunia kabla hamjaaimbiwa parapanda.
Natumaini mmenielewa.
Chai
Sharia Law
Wauaji huwa hawawezi kuficha kiu yao ya damu kama huyu mtoa mada
Kama wanapenda sana kuchezea mashine, basi tutawapa mashine wachezee vizuri, hakuna nyumbu atakaechekewa katika suala zima la kuhujumu Taifa .
Na bado kidogo atanjea ndooniMwamba anajua kuitumia sana
Yaani utasema hakuna sheria za kumshughulikia Mfanyakazi anayevunja taratibu za kazi..UDIKTETA uchwara tu
Ila Tanzania Kuna baadhi ya wahudumu wa afya ni wauaji sana,
Hivi CCM ndo mmeamua kuwa mazuzu kabisa. Kila anayekosea adhabu yake ni kifo? Mnathinitisha Mchengerwa anahusika kwenye Mauaji nchini?
Kwanini uhujumu wagonjwa je wakifa
CCM inaingiaje hapo?Hivi CCM ndo mmeamua kuwa mazuzu kabisa. Kila anayekosea adhabu yake ni kifo? Mnathinitisha Mchengerwa anahusika kwenye Mauaji nchini?