TISHETI PLAIN DODOMA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2025
- 617
- 1,910
Kahujumu vipi wagonjwa, na huo uhujumu gani wa wagonjwa ambao unaweza kupelekea vifo? Okay tuseme kahujumu,kuna sheria gani inampa waziri mamlaka ya kutoa adhabu ya kifo kwa wahudumu wa hospitali?Kwanini uhujumu wagonjwa je wakifa