TISHETI PLAIN DODOMA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2025
- 617
- 1,910
Kahujumu vipi wagonjwa, na huo uhujumu gani wa wagonjwa ambao unaweza kupelekea vifo? Okay tuseme kahujumu,kuna sheria gani inampa waziri mamlaka ya kutoa adhabu ya kifo kwa wahudumu wa hospitali?Kwanini uhujumu wagonjwa je wakifa
Ukweli unajulikana ni huyo mchaga ndio anahujumu vifaa na miundo mbinu ya Temeke.Wewe subiri bango la Mganga Mkuu wa Temeke likiwa na kichwa cha habari TANZIA
Kwa hivyo mshapitisha hukumu ya kuwaua hao waliochezea hizo mashine siyo?Ila wale waliochezea Mashine siyo wauaji??? Wewe subiri bango la Boss wao likiwa na kichwa cha habari TANZIA
na mungu alivyo hadhihakiwi hiyo tanzia inaweza ikaanzia kwako au MTU wako wa karibuTusubiri bango la TANZIA very soon hata Mwaka haujapinduka
Tunajua mwamba ni muasisi wa okotoba 29.Huyu mwamba mwenye dhamana ya Wizara yenu hatanii na Wala hataniwi, ni Bora mkafikiria kwenda kuishi nje ya nchi kama bado mnapenda kuendelea kupumua katika hii Dunia kabla hamjaaimbiwa parapanda.
Natumaini mmenielewa.
na mungu alivyo hadhihakiwi hiyo tanzia inaweza ikaanzia kwako au MTU wako wa karibu
Nasubiri kuitwa naona kimya.. Hajakujibu bado????Kwamba mtu aadhibiwe kifo kwa kuchezea mashine? Ni mashine gani hio?
Acheni vitisho vya kijinga hapa, yeye ni nani, nchi hii wapepita wangapi ambao ilikua mara mia yake, hivi yupo mbabe aliemzidi Mwendazake?Huyu mwamba mwenye dhamana ya Wizara yenu hatanii na Wala hataniwi, ni Bora mkafikiria kwenda kuishi nje ya nchi kama bado mnapenda kuendelea kupumua katika hii Dunia kabla hamjaaimbiwa parapanda.
Natumaini mmenielewa.
Usitutishe bana nchi ya kwetu woteHuyu mwamba mwenye dhamana ya Wizara yenu hatanii na Wala hataniwi, ni Bora mkafikiria kwenda kuishi nje ya nchi kama bado mnapenda kuendelea kupumua katika hii Dunia kabla hamjaaimbiwa parapanda.
Natumaini mmenielewa.
Bado tunasubiriNasubiri kuitwa naona kimya.. Hajakujibu bado????
Natamani ajibu tuone.Bado tunasubiri