Mliochomwa Sindano za COVID-19 mnaendeleaje?

Chanjo inadozi hahaha.
Ngoja tusiongee sana wasijepeperusha vijidudu kuforce ugonjwa kutukomoa

Ila hii dunia mkuu usipojiongeza anaweza kugeuzwa shamba darasa la mabeberu.
 
Biashara za watu zile mkuu
 
CCM chama changu hakina watu wa aina yako wasiojua kuandika neno maabara
 
Hata mimi nilijua hivo

Ila nilijiandaa kwa lolote mimi na familia yangu no chanjo
 
Covid ilikuwa ni Test pana zaidi
Ilipima
1. Akili zenu.
2. Imani zenu.
3. Medical system strength
4. Uwezo was kuhimili milipuko ya magonjwa.
Mengine mtamaliziaga.
ila walichogundua Bado Bongo zenu Zina operate katika Frequency ndogo Sana Yani misukule.....Sheeplez ( Test Grounds )
 
Hahahaha
Mimi nilisimama Church nikawaambia wasiogope kadudu ambako hakaonekani wakati wana Mungu mkubwa kuliko dunia. Walinishukuru sana.
 
Nasubiri Bill Gates analeta Nini kingine hasa wakati huu dunia imepagawa😂
Nasubiri Bill Gates analeta Nini kingine hasa wakati huu dunia imepagawa😂
Siku hizi watu hawaelewi, wanaweza kumuhack na kushare njama zake online.

Kama walivyoshare jamaa wa CNN wanaigiza kukwepa mabomu ya Hamas kumbe ili watupange wafuatiliaji kuwa na wao wamenusurika.

Dunia ina3ndeshwa kwa sanaa sio sayansi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…