GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 4,291
- 5,786
Tujikumbushe kuwa wakati wa pandemic ya Covid-19 mashirika ya ndege karibu yote yalisitisha huduma isipokuwa Ethiopian Airline iliyofanya kazi muda wote bila kusita. Maelekezo mengi ya Dunia kuwekwa quaranteen yalitoka WHO kwa maelekezo kutoka Marekani. Tujikumbushe pia kuwa Boss wa sasa wa WHO, Dr Tedros ni muethiopia.....
.Je alijua kinachoendelea Duniani na kuwatonya mabosi wa Ethiopian Airline wasisitishe safari za ndege kwa kuwa COVID-19 ni mchongo?
.Je Rais John Pombe Magufuli wakati huo, alizinyaka hizi habari mapema na kutuokoa na Quaranteen ambayo ilikusudia kupeleka watu ahera kwa maelfu?
.Je chanjo za COVID-19 bado zinatolewa hapa nchini? kama bado zinatolewa bado ni kwa lazima?