Mliofanikisha kujenga nyumba, Tupeane uzoefu hapa

Kuna mwamba hapo juu nimeukubali mkakati wake, kila mtoto na nyumba yake.
 
Nyumba zoooote hizo unafuliaje mkuu.au zinaishi popoo
 
Shukran Sana mkuu [emoji120]!!
 
Mkuu DeepPond , hivi kwa experience yako, uchimbaji wa kisima unaweza gharimu kiasi gani??
 

Nimeanza na trip6 za mchanga
Kiwanja kitupu Mungu aweke mkono wake
 
Kujenga nyumba unaanza kwa kununua kiwanja, hakikisha ukipata pesa inanunua kiwanja, kitakuhamasisha kujenga. Na ukihitaji kiwanja Kibaha, Mbweni, goba, Kigamboni, Bunju na Vikindu basi usisite kunipiga kwani tunavyo vya bei nafuu sana 0762815104
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…