Duuh ni hatariDuh, Mafanikio yanayoonekana ni matokeo ya mapambano ya ulimwengu usiionekana, duniani tuna watu wa aina 3:
1. Wataabikaji.
2. Waliouza nafsi zao kwa shetani.
3. Wanaomtegemea Mungu.
Watu wengi wapo kwenye namba 1, nothing will ever comes easy Dunia hii, na kamwe huwezi shindana na mtu anayetumia mambo yasiyoonekana.
Daah!! Mkuu sikutegemea kukutana na hii comment yako aisee, ila itoshe tu kusema haya uliyoyasema hapa ndio mfumo kamili wa maisha. Kwahyo ni choice yako wew mtafutaji upite wapDuh, Mafanikio yanayoonekana ni matokeo ya mapambano ya ulimwengu usiionekana, duniani tuna watu wa aina 3:
1. Wataabikaji.
2. Waliouza nafsi zao kwa shetani.
3. Wanaomtegemea Mungu.
Watu wengi wapo kwenye namba 1, nothing will ever comes easy Dunia hii, na kamwe huwezi shindana na mtu anayetumia mambo yasiyoonekana.
kwa sasa napitia hii changamotoWakuu mambo vipi,
Hivi kwa wale ambao mmefanikiwa kwenye biashara zenu, hiki kiunzi cha kupambana na changamoto ya mtaji kukata mlikiruka vipi ndugu zangu. Ni njia gani mlizitumia ili na sisi ambao bado tunahangaika kuruka hiki kiunzi tuzitumie
Kuna muda unaona kabisa, nikifanikiwa kuvuka hapa, hakika haya maisha natoboa. Ila kadri unavyochelewa kukiruka ndivyo kiunzi kinazidi kuwa kikubwa, mbaya zaidi kwenye familia tunazotoka na jamii zinazotuzunguka hakuna wa kutupa msaada. Tunaishia kuumiza kichwa ni wapi tunakosea ila majibu hayapatikani.
Tafadhali ndugu zetu mliotutangulia, tunaomba mtupe ABC ili na sisi tuweze kujikwamua hapa tulipo.
Asanteni.
Hii ni kweli kabisa, kuna muda mikopo huwa inarudisha nyuma sana.Ukiwa unafanya biashara kuna vitu unatakiwa kuzingatia, kwanza acha kutumia pesa za biashara kufanya mambo mengine eg ujenzi hadi pale biashara yako itakapotengamaa.
Maamuzi ya kukopa yawe ni last option otherwise utakuwa unawafanyia watu kazi.
Shukrani sana mkuuMkuu KUWA makini na mikopo punguza matumizi jibane MFANO usinunue nguo MPYA kiatu kikichanika kashone usinunue HIZO ni njia za kukufanya UWE unakaa na HELA mfukoni. Usinunue TU vitu dukani bali nunua vitu potential
HahahaMimi hapa huwa naloga...
Kuna mganga mmoja hvi anapatikana majimatitu kule bondeni wanapaita churwi..
Yule babu alinitibu sana kwanza anakupa dawa ya kutoa gundu ambayo ni maji ya gudu gudu .
Baada ya hapo anakupa dawa ya kuchoma na kuweka kwenye fremu yako ...
Hapo wateja watakua kama mchanga
Upo kundi gani kati ya haya mawili?Wakuu mambo vipi,