Mliofanikiwa kibiashara, mliwezaje kupambana na changamoto ya mtaji kukata/ kuisha?

Na mganga mwenyewe ndiyo mimi
 
Nakuombea hii thesis yako au research utatoboašŸ™ Ntakachokwambia tu kila kitu kilianza na Wazo, I submit.
 
Vipi taasisi za mikopo ambazo hawanariba sana kama ASA nasikia haya makampuninya wahindi yanamambo yao ukikopa ili ufanye biashara haundelei ni kweli au nimahesaabu mabovu kuna aliyekopa microfinance au taasisi kama ASA,OYA akafanikiwa kibiashara alete ushuhuda? Samahani sibadili mada
 
Unafanya biashara gani iliupewe maoni au ushauri mahususi.
 
Mtaji ni tatizo kwa biashara nyingi hasa ndogo ndogo muarubaini ni kujibana tu na kupunguza malengo ishi kulingana na kipato chako
 
Tafuta vitabu vinavyofundisha nidhamu ya pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…