Mliofanikiwa Kupata Wenza, Mje mlete Mrejesho

Mliofanikiwa Kupata Wenza, Mje mlete Mrejesho

Jaribu kumuelewa jamaa.. Ukimwelewa wala hautaangaika kukimbizana na nyuzi za matangazo wanazotoa.Bali utakua unamfata unayetaka.

BADILI ID, JARIBU KUWEKA ID AMBAYO KIJANA ANATABASAMU VZURII.

Saikolojia inainyesha kua, MTU akitazama Picha ya MTU aliyecheka/tabasamu nayeye pia huanza kucheka au kutabasamu nandio mwanzo wa kuvutiwa....(Zingatia;;;; Ukitaka kupata mwanamke kirahisi, umu ndani au nje huko ,HAKIKISHA UNAMCHEKESHA SANA HATA KABLA HIJAMTONGOZA).

WANAWAKE WANA UWEZO MKUBWA WA KUCHUNGUZA HATA KUPITIA PICHA.

so iyo ID yako, akishaizooom tu basi hakujibu.
 
Wewe huoni jamaa wenye ID zenye picha za sura za vijana watanashati au picha yenye kuonyesha mavazi ya kijentomeni ndizo zinaongoza kulamba K humu?.
 
Ahahah we njoo tu mkuu, tuanzishe kampuni yetu. Mana kazi siku hizi hazipatikani kabisa.
Haa haa Bora tukapambane
Tukiwa tumeshashikana at least
Hatutashindwa tutakaza

god is good
 
Kabisa hatutashindwa, ili na sie tuje kutoa ushuhuda huku km wengine ahahahaha
Ewaaaaa walio weza wana nn
Mpaka sisi tushindwe

Haa haa ngoja nlete yaliyomo huko
Mahali pake

god is good
 
Avatar ya mleta mada haina shida yoyote na haina uhusiano na mada tajwa
Je umefanikiwa kupata mke/mume/mpenzi kupitia jukwaa hili? Uliwezaje kuwachuja hadi kupata hitaji la moyo wako?
Kumbe ndio maana unakosa.
Amini nakwambia kwa hiyo Avatar hakuna dada atakaa akusikilize..pm zitafutwa juu kwa juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahah endelea kuomba kazi mkuu. Ngoja waje watupe mrejesho. Yani ata mimi nashangaa sipati kabisa kazi umu. Mtoa mada njoo tuanzishe kampuni yetu ahahaha
Nakuja bi dada. Hakika mualiko huu ntautendea yaliyo mema ili panapo maajiwa mim mwenyewe nije kutoa Ushuhuda wa Mada yangu hii jinsi nlivofanikiwa kumpata mtot mzuri mtot mkali Pujo
 
Kumbe ndio maana unakosa.
Amini nakwambia kwa hiyo Avatar hakuna dada atakaa akusikilize..pm zitafutwa juu kwa juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maoni yako nimeyazingatia. Nabadilisha Avatar yangu ili tu niweze kupata kile ninachokihitaji. Ahsante kwa kunijuza hili. I didn't know that Avatar ya mtu inaweza kua tatizo katika mahusiano
 
Kabisa hatutashindwa, ili na sie tuje kutoa ushuhuda huku km wengine ahahahaha
Pujaaaa, mim (Akili 09 nguvu 01) ndio mhusika mkuu wa mada hii. Uyu Usser amedandia tu gari kwa mbele. Naomba umpuuze na usimsikilize kwa chochote. Nakuja mwenyewe ili tuweze kuyajenga tujue tunajikwamua vipi kutoka hapa tulipo ili tuweze kutengeneza Couple moja nzuri sana
 
Ahahahah ujaoa?, sio single father wewe? .
 
Jaribu kumuelewa jamaa.. Ukimwelewa wala hautaangaika kukimbizana na nyuzi za matangazo wanazotoa.Bali utakua unamfata unayetaka.

BADILI ID, JARIBU KUWEKA ID AMBAYO KIJANA ANATABASAMU VZURII.

Saikolojia inainyesha kua, MTU akitazama Picha ya MTU aliyecheka/tabasamu nayeye pia huanza kucheka au kutabasamu nandio mwanzo wa kuvutiwa....(Zingatia;;;; Ukitaka kupata mwanamke kirahisi, umu ndani au nje huko ,HAKIKISHA UNAMCHEKESHA SANA HATA KABLA HIJAMTONGOZA).

WANAWAKE WANA UWEZO MKUBWA WA KUCHUNGUZA HATA KUPITIA PICHA.

so iyo ID yako, akishaizooom tu basi hakujibu.
Correction, si kila mtu anapenda makomedian, sie wengine kina joti wanatosha kutuchekesha.
 
Hahahahahaha asante kunisahihisha... Mie ndo nilishia kuweka ID yangu inayonikumbusha kitu kimoja kisichosahaulka.
Correction, si kila mtu anapenda makomedian, sie wengine kina joti wanatosha kutuchekesha.
Kweli hata ivo, hata ukiwa HB usilalamike demu kukukataa... Kuna wanawake wanapenda mavyura yao.
 
Back
Top Bottom